Language

Wednesday 1 May 2013

MAZOEZI YA MUHIMU YATAKAYOFANYA MATITI YAKO YASILALE


Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako yabaki/pumzike, kwamba hakuta kuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

Zoezi1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada/mama mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.


Zoezi2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyuma kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu jinsi unavyokua.

Zoezi3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na kule inanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...