Language

Sunday 20 January 2013

MICHEZO: CHILAVERT NDIYE KIPA BORA DUNIANI ALIYEVUNJA REKODI YA UFUNGAJI MAGOLI

Jose Luis Chilavert, kipa wa zamani wa Paraguay ndiye kipa bora katika historia kwa kufunga magoli mengi zaidi ya makipa wote duniani, anajumla ya magoli 62.Kwa sasa amestaafu soka  na anatarajia kugombea urais wa nchi ya Paraguay katika miaka michache ijayo.






BURUDANI: HII NDIO PAGE YA FACEBOOK INAYOMDIS DIVA LOVENESS LOVE WA CLOUDS FM ARA ZA ROHO KATIKA PICHA

Hizi nibaadhi ya picha zinazoionesha page ya facebook iitwayo 'Tunakuchukia Diva Wa Clouds Fm' maalumu kwa kumdis mwanadada machachari wa sauti ya mahaba Loveness Love wa Clouds Tv na Clouds Fm.

Angalia picha hizi na utaweza kusoma pia kile kinachoandikwa katika page hiyo...

Front page na cover photo ya page

Comments mbalimbali zinazotumwa na fans wa page


Post


Post


MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZA JANA KATIKA COMBE LA MATAIFA YA AFRIKA NA LIGI KUU YA UINGEREZA


HABARI PICHA: HII NDIO TIMU YA CHADEMA INAYODAI KUIBURUZA CCM MPAKA 2015



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...