Language

Saturday 2 March 2013

HABARI PICHA: WAFUASI WA RAILA ODINGA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI KENYA


MICHEZO: KAMA HUKUPATA MATOKEO YA MECHI KUBWA ZA SPAIN NA GERMANY ZA MACHI 2, YAKO HAPA


HABARI MUHIMU: JESHI LA CONGO LIMEKOMBOA MIJI MIWILI YA MASHARIKI TOKA KWA M23


Jeshi la Jamhuri ya Demokrasi ya Congo linasema kuwa limeikomboa miji miwili ya mashariki mwa nchi ambayo ilikuwa imedhibitiwa na wapiganaji wa M23 kwa miezi kadha.

Msemaji wa jeshi alieleza kuwa wanajeshi wa serikali wameingia katika miji ya Rutshuru na Kiwanja baada ya M23 kuondoka
Juma hili M23 waligawanyika mapande mawili ambayo yalianza kupigana.
Maelfu ya watu wamekimbilia nchi ya jirani, yaani Uganda, ili kuepuka mapigano hayo.
Mapambano yalianza punde baada ya viongozi wa Afrika kutia saini mkataba wa kumaliza vita vya miongo miwili mashariki mwa Congo.

MAHUSIANO: UNAJUA NGONO HUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO (STRESS)??? PIA FAIDA ZA MANII ZIKO HAPA.

UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.


Pia, watafiti hao wamesema wanawake wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara bila kutumia kinga (mapenzi salama) wanakuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo na hufanya vizuri katika vipimo vya akili.

Hali hii wamesema wataalam hao kuwa inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na huwa na angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo (anti-depressants).

Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293 kwa kufuatilia maisha yao ya kujamiana dhidi ya afya za akili zao. Manii huwa na mchanganyiko wa kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza upendo, kemikali aina ya esterone na oxytocin ambazo zote humfanya mtu kuwa vizuri  kihisia.

MICHEZO: WAFUNGAJI BORA LIGI KUU ENGLAND


MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA UINGEREZA FULL TIME


MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA ENGLAND BAADA YA HALF TIME


BURUDANI: NIMEZIPATA PICHA 7 ZA JUSTIN BIEBER AKIWA NA MPENZI WAKE MPYA JASMINE VILLEGAS


BURUDANI: HII NDIO NGOMA KALI YA WIKI DUNIANI, ISIKILIZE NA UIDOWNLOAD HAPA. "WAR OF CHANGE-SHAMEER"


BURUDANI: HII NDIO LIST YA NYIMBO 10 ZILIZOKUWA DOWNLOADED ZAIDI WIKI HII


BURUDANI: KAMA UNAIPENDA AS LONG AS U LUV ME YA JUSTIN BIEBER, LYRICS ZAKE HIZI HAPA



JUSTIN BIEBER LYRICS
As Long As You Love Me Ringtone  "As Long As You Love Me"
(feat. Big Sean)
As long as you love me [x3]

We're under pressure,
Seven billion people in the world trying to fit in
Keep it together,

HABARI PICHA: HIZI NDIO HABARI 5 ZILIZOSOMWA ZAIDI MWAKA HUU KATIKA BLOGU HII


HABARI MUHIMU: RAIS HUGO CHAVES HAJAFA KAMA ILIVYODAIWA


Wasaidizi wa karibu na ndugu wa rais Hugo Chavez wa Venzuela wamekanusha habari kuwa rais huyo anaweza kuwa amefariki au anakaribia kufa kutokana na ugonjwa wa saratani, na kusema kuwa bado anapigana kuokoa maisha yake.


Wasaidizi wa karibu na ndugu wa rais Hugo Chavez wa Venzuela wamepinga habari zilizosambaa kuwa rais huyo anaweza kuwa amefariki au anakaribia kufa kutokana na ugonjwa wa saratani, na kusema kuwa bado anapigana kuokoa maisha yake.

HABARI MUHIMU: KIONGOZI WA AL-QAEDA AUAWA MALI


Kiongozi mmoja mkuu wa kundi la wapiganaji la al-Qaeda ameuawa nchini Mali. Taarifa hizi zimethibitishwa na Rais wa Chad, Idriss Deby

Alisema kuwa majeshi ya nchi yalimuua Abdelhamid Abou Zeid, wakati wa makabiliano yaliyotokea katika eneo moja la vijijini nchini Mali.
Anasemekana kuwa wa pili kwa ngazi ya uongizi

MICHEZO: RATIBA YA MECHI ZA LEO KATIKA LIGI ZA SPAIN NA GERMANY


MICHEZO: RATIBA YA MECHI ZA LEO KATIKA LIGI KUU YA UINGEREZA


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...