Language

Monday 4 March 2013

MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZA MACHI 4 IKIWEPO YA MAN CITY NA ASTON VILLLA


HABARI TOKA KENYA: HUU NI UCHAGUZI AMBAO HAUJAWAHI TOKEA KENYA


Wakenya wangali wanapiga kura licha ya muda wa mwisho wa shughuli hiyo kutimia.Upigaji kura ulianza asubuhi na mapema baadhi ya wagombea wakiwa katika vituo vya kupiga kura saa nane na saa tisa usiku.
Mwandishi wa BBC Ann Mawathe anasema kuwa katika kituo kimoja mjini Kisumu, bado mamia ya wapiga kura wamepiga foleni wakisubiri

HABARI MUHIMU: UNAIKUMBUKA STORI YA JANA KUHUSU KIFO CHA MJUMBE WA UVCCM BESON MOLLEL? MUENDELEZO WAKE HUU HAPA BAADA YA UCHUNGUZI

UCHUNGUZI wa awali wa kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), kupitia Mkoa wa Arusha, Benson Mollel (26) umeonyesha kuwa chumbani alimofariki kulikutwa mipira miwili ya kiume, mmoja ukiwa umetumika.

HABARI TOKA KENYA: UHURU KENYATTA ANAONGOZA KATIKA UCHAGUZI, 22 TAYARI WAMEUAWA


Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Kenya yanaonyesha kuwa Uhuru Kenyatta, mtoto wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta anaongoza, huku akifuatiwa kwa karibu na aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Raila Odinga.
Kama alivyo Uhuru, Raila pia ni mtoto wa mmoja wa waasisi wa taifa la Kenya, ambaye alikuwa Makamu wa Mzee Kenyatta, Jaramong Oginga Odinga.

MICHEZO: HII NDIO RATIBA YA MECHI ZA LEI MACHI 4 KATIKA VIWANJA MBALI MBALI DUNIANI



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...