Language

Saturday 9 March 2013

MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZA MACHI 9 ZA SPAIN, GERMANY, FRANCE, HOLLAND NA BELGIUM


WASIFU WA RAIS UHURU KENYATTA KWA UFUPI


BAADA YA UHURU KENYATTA KUTANGAZWA RAIS, AAHIDI KUIJENGA UPYA KENYA


Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewashukuru wananchi pamoja na Mwenyezi Mungu kwa kumwezesha kushinda nafasi hiyo huku akiahidi  kuijenga upya Kenya.

Uhuru amesema ataweka kipaumbele kwenye kutunza rasilimali za nchi na kuhakikisha zinawanufaisha wananchi wote, pia kuwawezesha wanawake na vijana.
Katika hotuba yake aliyotoa muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi jana, Kenyatta alisema anawashukuru wagombea alioshirikiana nao katika mchakato wote wa uchaguzi na kuwakaribisha kuungana.
Nawashukuru wagombea wenzangu wote kwa kujitolea kwa moyo kushiriki katika kinyang’anyiro hiki kwa kuwa jambo hilo limezidi kuonyesha demokrasia iliyopo nchini,” alisema.

UHURU KENYATTA IS THE PRESIDENT


HABARI ZA UCHAGUZI MKUU KENYA: UHURU KENYATTA KATANGAZWA RASMI KUWA RAIS MPYA WA KENYA

Uhuru Kenyatta ndiye Rais wa nne wa Jamuhuri ya Kenya baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza kushinda uchaguzi wa kihistoria wa Kenya.

Ni baada ya siku tano tangu wakenya kupiga kura kumpigia kura rais, magavana, maseneta , waakilishi wa bunge, waakislihi wanawake na waakilishi wodi.
Uhuru alipata zaidi ya asilimia hamsini ya kura zilizohitajika ili kuapata ushindi kulingana na mahitaji ya katiba mpya ya nchi.
Matokeo hayo yalionyesha kuwa Uhuru Kenyatta ameshinda na kuepuka duru ya pili ya uchaguzi.
Takwimu kutoka tume ya uchaguzi zinasema Kenyatta ameshinda asilimia hamsini nukta tatu za kura zote zilizopigwa.

BURUDANI: SIKILIZA NA UIDOWNLOAD NYIMBO KALI YA Meek Mill Rose Red (Feat T.I., Vado & Rick Ross) | www.GoatMouf.Net

BURUDANI: HII NDIO NGOMA AMBAYO NI MOST DOWNLOADED THIS WEEK 'Blood On My Hands-B. Bondz.mp3' NAWE IDOWNLOAD PIA HAPA

BURUDANI: HAWA NDIO WASANII WATANO WALIOPATA FANS WENGI ZAIDI WIKI HII


MICHEZO: RATIBA YA MECHI ZA LEO SPAIN, GERMANY, FRANCE NA HOLAND


MICHEZO: HIZI NDIO MECHI ZA LEO KATIKA LIGI MBALI MBALI ZA UINGEREZA


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...