Language

Tuesday 12 March 2013

HABARI MUHIMU: TAMKO LA BENKI KUU HUHUSIANA NA WIZI WA PESA KATIKA ATM




Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imeingilia kati wizi wa fedha kwa kutumia mashine za kutolea fedha (ATM), ambao umeibua hofu kubwa katika sekta ya benki nchini.

Kutokana na wizi huo kukithiri katika baadhi ya benki, wafanyabiashara na wananchi wameanza kujipanga kuondoa fedha zao katika akaunti.
Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndullu alizungumza kwa njia ya simu mwishoni mwa wiki kwamba wameziagiza benki kuweka kifaa cha umeme (electronic chip) kwenye kadi zao za ATM ambazo si rahisi kughushi.
“Wizi kama huo unatokea wakati mtu anaweka namba za siri kwenye ATM kwani kuna watu huweka kamera ambazo husoma na namba hizo kufanikiwa kuzipata kisha kufanya wizi ,” alisema Profesa Ndullu.
Alisema kuwa kutokana na wizi kukithiri wamezitaka benki zote kuweka mifuniko katika eneo la namba za siri ili wezi wanaoweka kamera ili kuzinasa wakati mtu anatoa fedha washindwe kufanya hivyo.

HABARI MUHIMU: UCHAGUZI WA PAPA KULETA ZENGWE KAMA UCHAGUZI MKUU KENYA?




Mchakato wa kumchagua Papa mpya wa Kanisa Katoliki umepamba moto wakati misa maalumu ya kuandaa uchaguzi huo ikifanyika katika makao makuu ya Kanisa la Mtakatifu Peter wa Basilica lililopo Vatican.

Makardinali 115 wenye umri wa zaidi ya miaka 80 ambao wanatarajiwa kushiriki uchaguzi huo, watafungiwa ndani ya hekalu la Sistine ambako zoezi zima litafanyika.

HABARI MUHIMU: AFYA KWA MAMA MJAMZITO NA MTOTO


Hati punguzo ni haki ya kila mjamzito. Ni jukumu la mama mjamzito kumkumbusha mtoa huduma za afya ampatie hati punguzo ili imwezeshe kupata chandarua kwa Tsh. 500 tu.

MICHEZO: MSIMAMO WA ENGLISH PREMIER LEAGUE


HABARI PICHA: GOD IS GOOD


MICHEZO: HII NDIO RATIBA YA MECHI ZA LEO ZIKIWEPO ZA CHELSEA VS MANCHESTER UNITED NA BARCELONA VS AC MILAN


MITINDO: DADAZ HEBU CHEKI KIATU CHA MTOKO HAPA

BURUDANI: LYRICS: BILLIONAIRE-BRUNO MARS



I wanna be a billionaire so fricking bad
Buy all of the things I never had
Uh, I wanna be on the cover of Forbes magazine
Smiling next to Oprah and the Queen

HABARI KWA UFUPI: HIZI NDIO HABARI KUBWA ZA LEO DUNIANI KWA UFUPI

Cardinals set to elect new Pope Tuesday, March 12, 2013 4:31:07 AM
Cardinals in Rome are set to begin voting to decide who will be the next leader of the world's 1.2bn Roman Catholics, with no frontrunner in sight.
Snow hits northern Europe travellers Tuesday, March 12, 2013 5:29:46 AM
Heavy snow across a corner of north-western Europe forces the closure of Frankfurt airport and suspension of London-Paris Eurostar trains.
Japan taps gas from methane hydrate Tuesday, March 12, 2013 2:53:49 AM
Japan says it had successfully extracted natural gas from frozen methane hydrate off its central coast, in what it says is a world first.

MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA MACHI 11 YAKO HAPA



HABARI MUHIMU: JE, UNATAFUTA KAZI KWA MUDA MREFU? ANGALIA KATI YA HIZI ZILIZO WAZI NA VIGEZO VYAKE



DRIVER
Qualifications: Holder of  a secondary education exam,Holder of class C driving licence
Apply: The Regional Manager,
Tanzania National Agency
(TANROADS)
Box 30150  Dar es salaam
Details: The Gurdian, March 6 2013
Deadline: March  18, 2013

HABARI MUHIMU: CORD KUFUNGUA KESI DHIDI YA UHURU KENYATTA JUMATATU IJAYO



Muungano wa Cord umeeleza kwamba unaendelea kukusanya ushahidi wa malalamiko yao ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi mgombea wa Muungano wa Jubilee na utayafikisha kwenye Mahakama ya Rufaa Jumatatu wiki ijayo.

Waziri wa Elimu, Mutula Kilonzo alisema kwamba muungano wao wa Cord uliomsimamisha Waziri Mkuu Raila Odinga ambaye ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa Machi 4 umekuwa ukiendelea kukusanya taarifa na maelezo ya ushahidi kutoka vyanzo mbalimbali.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...