Language

Monday 18 March 2013

BURUDANI: ETI JAMAA ANAFANANA NA HILI GARII


AFYA: AFYA YA MAMA NA MTOTO

Ikiwa mama na mtoto wanaishi na VVU na wanatumia dawa, watumie dawa kama walivyoshauriwa na mtoa huduma wa afya. Dawa zote zihifadhiwe vizuri.

BURUDANI: DOWNLOAD WIMBO WA MEEK MILL-DREAMS & NIGHTMARE

MICHEZO: RATIBA YA MECHI ZA LEO AMBAZO BADO HAZIJACHEZWA


AFYA: TUMIA VEMA VYOMBO VYA MAWASILIANO KULINDA AFYA YAKO


WATANZANIA wametakiwa kuwa na matumizi sahihi ya Kompyuta, Televisheni na Simu ili kuepusha athari katika miili yao.

Akizungumza katika Kanisa la Tanzania Assembiles of God Amani Cathedral Centre kwa Mchungaji Benjamin Bukuku, Mwezeshaji Konya Alex amesema vifaa hivyo ni muhimu katika utendaji wa kazi hususani katika Ulimwengu huu wa digitali.
Konya amesema watanzania hawatakiwi kuviacha kuvitumia kutokana na ukweli kwamba vina umuhimu mkubwa sana katika maisha ya kila siku hivyo umakini katika kutumia utapunguza athari katika miili ya binadamu.

HABARI KWA UFUPI: HABARI KUBWA DUNIANI ZA MACHI 18 HIZI HAPA KWA UFUPI

Cyprus MPs in bailout crisis session Monday, March 18, 2013 12:17:45 PM
Cyprus' parliament will hold an emergency session on a bailout deal, amid public anger over demands that bank customers pay a one-off levy.
Italy envoy has 'no legal immunity' Monday, March 18, 2013 10:41:39 AM
India's Supreme Court says Italy's envoy has no immunity, in an escalating row over Rome's refusal to return two marines charged with murder.
Deepest ocean 'teems with microbes' Monday, March 18, 2013 4:39:47 AM
The deepest place in the ocean - the Mariana Trench, in the Pacific Ocean - is teeming with microscopic organisms, scientists find.

MITINDO: HAIR STYLES


HABARI PICHA: BONGO MOVIE STAR JACOB STEPHEN (JB)


HABARI MUHIMU: HUYU NDIYE MWANDISHI ALIYE ACHILIWA HURU NA MAHAKAMA SOMALIA


Mahakama kuu ya mjini Mogadishu Somalia imemwaachilia huru mwandishi wa habari ambaye alifungwa kwa sababu ya kumhoji mwanamke aliyesema amebakwa.

Katika kesi iliyolalamikiwa kimataifa, mwandishi huyo, Abdilaziz Abdinuur, awali alipewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja kwa kumhoji mwanamke ambaye alisema alibakwa na wanajeshi wa serikali.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...