Friday, 15 March 2013
HABARI MUHIMU: AFYA YA MAMA NA MTOTO
Lala pamoja na mtoto wako kwenya
chandarua chenye dawa kila siku kuzuia malaria.
Muwahishe mtoto ndani ya
masaa 24 kwenye kituo cha kutolea huduma za afya iwapo utahisi
anaumwa.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment