Wednesday, 13 March 2013
HABARI MUHIMU: AFYA YA MAMA YA MAMA MJAMZITO NA MTOTO ATAKAYEZALIWA INATEGEMEA SANA MLO
Mjamzito ale milo mitatu kila siku na vitafunwa kati ya milo. Ale vyakula vyenye asili ya nyama, nafaka, mboga mboga , matunda, mbegu za mafuta na sukari.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment