Language

Tuesday, 2 April 2013

MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA PREMIER LEAGUE


MATOKEO YA MECHI ZA CHAMPIONS LEAGUE NA MECHI NTINGINE KUBWA DUNIANI ZA APRILI 2 YAKO HAPA


KAMA HUKUIPATA HII NDIO HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 MACHI, 2013


Ndugu Wananchi
Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia uhai na kunipa fursa ya kuzungumza nanyi kwa kupitia utaratibu wetu huu mzuri wa kila mwisho wa mwezi. Leo ninayo mambo matatu ninayopenda kuzungumza nanyi.
Ziara ya Rais wa China Nchini Tanzania
Ndugu wananchi;
Jambo la kwanza ni ziara ya Mheshimiwa Xi Jinping, Rais wa Jamhuri ya Watu wa China aliyoifanya nchini kwetu kati ya tarehe 24 na 25 Machi, 2013. Lengo la ziara yake ilikuwa kuimarisha uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya China na Tanzania. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wakazi wa Dar es Salaam kwa kumpokea vizuri mgeni wetu na ujumbe wake. Wameondoka wakiwa na kumbukumbu nzuri ya nchi yetu na watu wake.

Kwa niaba yenu, nimepokea salamu za shukrani kutoka kwa Rais Xi Jinping akielezea kufurahishwa na mapokezi mazuri tuliyowapatia. Naomba tuendelee kuonesha moyo wa upendo na ukarimu kwa wageni wetu wengine mashuhuri watakaotutembelea siku za usoni.
Ndugu wananchi;
Nami pia, nimemshukuru sana Mheshimiwa Xi Jinping kwa kukubali mwaliko wangu na kufanya ziara ya kihistoria na yenye mafanikio makubwa kwa nchi yetu. Ameifanyia nchi yetu jambo la heshima kubwa na kumbukumbu isiyosahaulika. Tanzania imekuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kuitembelea, tena siku kumi tu baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi yake. Na, kubwa zaidi ni kutumia fursa ya ziara yake hapa nchini kutangazia dunia Sera ya China kwa Afrika katika kipindi cha uongozi wake.

BAADA YA BIFU BARIDI NA CLOUDS FM RADIO & TV, SASA LADY JAY DEE KUFUNGUA REDIO YAKE HIVI KARIBUNI


Hatimaye tumepata jibu la kwanini Judith Mbibo aka Lady Jaydee amekuwa akitweet vitu vizito weekend iliyopita. Kama hukufaniwa kuziona tweets hizo ni kwamba mwanadada huyo alishusha mfululizo wa mabomu kuelekea kwa kituo kimoja cha radio na kujikuta akiongeza aka mpya, Anaconda.

Na sasa imebainikiwa kuwa mwanamuziki huyo mkongwe na mjasiriamali anakuja na kituo chake cha radio kiitwacho Kwanza FM. Habari hiyo aliibreak mwenyewe jana na bila shaka haihusiani na April’s Fools Day.

    Kwanza FM coming soon. Yangu mwenyewee

    — Lady JayDee (@JideJaydee) April 1, 2013

Inaonesha kuwa mchakato wa kuanzisha radio hiyo unaenda vizuri kiasi cha kuweka wazi na kuwa hiyo ndio sababu alichukua uamuzi huo wa kuandika mambo ambayo yangeweza kuiharibu career yake ya muziki.

Monday, 1 April 2013

HIZI NDIO PICHA ALIZOZIWEKA RIHANNA MTANDAONI ZINAZODAIWA KUWAKERA MASHABIKIN WAKE


KEVIN WARE: RECOVERING FROM SURGERY, NON CRUTCHES


Fewer than 24 hours after suffering a truly gruesome leg break on national television, Louisville guard Kevin Ware is up and walking around.

In a new Twitter photo making the Internet rounds, the 20-year old basketball player is standing in an Indiana hospital room, his right left fully bandaged after surgery to repair a break in two places.
Doctors inserted a rod into Ware's tibia during a two-hour procedure that sources say went very well.
After snapping the bone in half - and having it protrude through his skin - during the first half of Louisville's win over Duke yesterday, Ware is hoping to join his squad for its appearance in the Final Four next weekend.
He won't play, of course, but physicians say he should be able to return to the court at some point.

LOCAL MAYOR PUSHES FOR MTV TO CANCEL BUCKWILD


It's been referred to as the southern Jersey Shore, but there's officially nothing funny any longer about Buckwild.
Not after 21-year old star Shain Gandee was found dead in a truck today, his corpse discovered along with two others in a vehicle that was buried up to its windows in mud.

In response to the incident - along with separate recent arrests for cast members Salwa Amin and Michael Burford in connection with drugs and drunk driving, respectively - Danny Jones has a message for MTV.
"The show only enhances the negative stereotype the Kanawha Valley already has," says the Mayor of Charleston, West Virginia. "I hope the show’s life is short.”
It is believed that Gandee, his uncle and an unidentified woman all died from accidental carbon monoxide poisoning, though the Sheriff's Office is yet to issue a report.
Just a few months ago, West Virginia Senator Joe Manchin slammed the series as a "travesty" that makes money off shameful behavior; he urged MTV to cancel it even before it hit the air.

MILEY CYRUS NA MTINDO WAKE WA NYWELE


HILI NDILO ENEO LA MGODI WA MORRUM HUKO ARUSHA AMBAPO TAKRIBANI WATU 18 WANADAIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI


KAMA HUKUYAPATA MATOKEO YA MECHI ZA PREMIER LEAGUE, CHAMPIONSHIP, LEAGUE 1 NA LEAGUE 2 ZA UINGEREZA ZA APRILI 1 YAKO HAPA


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...