Language

Thursday, 7 February 2013

MITINDO: UNATAKA KUWA NA SEBULE YENYE MUONEKANO MZURI? ANGALIA PICHA HIZI



BURUDANI: KAMA UNAIPENDA LET ME LOVE YOU YA NE-YO, LYRICS ZAKE HIZI HAPA

Much as you blame yourself, you can't be blamed for the way you feel
Had no example of a love, that was even remotely real
How can you understand something that you never had
Ooh baby if you let me, I can help you out with all of that

Girl let me love you

And I will love you
Until you learn to love yourself
Girl let me love you
And all your trouble
Don't be afraid, girl let me help
Girl let me love you
And I will love you
Until you learn to love yourself
Girl let me love you
A heart of numbness, gets brought to life
I'll take you there

Girl let me love you

MICHEZO: KAMA ULIKUWA HUUJUI MSIMAMO KUU YA UINGEREZA...TIMU ZOTE 20 ZIKO HAPA NA NAFASI ZAKE



MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZA TAREHE 7 FEBRUARI YAKO HAPA


HABARI MUHIMU: KILA MTANZANIA ANADAIWA TSH.467,404

Baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza matokeo ya sensa, inayokaribia watu 45 milioni, siku chache baadaye deni la taifa lilitangazwa kufikia Sh21 trilioni huku katika wastani kila mtu akidaiwa Sh467,404.

Fedha hizo zinatokana na mkopo baada ya Serikali kukopa kwa ajili ya kujenga miundombinu kama barabara, bomba la gesi, mishahara ya wafanyakazi, na miradi mingine.
Kwa mujibu wa taasisi isiokuwa ya kiserikali ya Tanzania Coalition on Debt and Development (TCDD), serikali inadaiwa ‘mzigo wa
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...