Language

Tuesday, 5 March 2013

MICHEZO: MSIMAMO LIGI KUU UINGEREZA (EPL) KWA SASA NDIO HUU


MICHEZO: SUMMARY YA MECHI YA MANCHESTER UNITED VS REAL MADRID YA MACHI 5 IKO HAPA


MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZA MACHI 5 IKIWA NI PAMOJA NA MECHI YA MAN U VS R.MADRID YAKO HAPA


HABARI ZA UCHAGUZI MKUU KENYA: KURA 284,232 ZIMEHARIBIKA

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya, imesema ina wasi wasi kuhusu idadi ya kura zilizoharibika na imesema italazimika kuchunguza kisa cha idadi kubwa ya kura kuharibika.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Ahmed Issack Hassan, amesema kuwa uchunguzi utafanywa mwishoni mwa uchaguzi kujua kwa nini wapiga kura walifanya makosa makubwa wakati wa upigaji kura.
Wakati tume hii ilikuwa inatoa taarifa kuhusu kura hizo, takriban kura 284,232 zilikuwa zimeharibika.

MICHEZO: WACHEZAJI WA SIMBA WAMUANGUKIA KOCHA


BAADHI ya mastaa wa kikosi cha kwanza, Simba (majina tunayo) wamesema hawana imani na mbinu za Kocha Mkuu Patrick Liewig na hilo limethibitika zaidi katika mchezo wao wa Angola.

Mwishoni mwa wiki, Simba ilishambuliwa na kipigo cha mabao 4-0 kutoka  Recreativo Libolo ya Angola katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.

HABARI ZA UCHAGUZI MKUU KENYA: UHURU KENYATTA BADO ANAONGOZA KWA KURA


Baada ya siku ndefu ya watu kupiga kura nchini Kenya, wengi wana hamu kujua rasmi mshindi wa uchaguzi wa urais. Hata hivyo matokeo ya mwanzo yameanza kutolewa na tume ya uchaguzi na mipaka Kenya, IEBC.

KAMA ULIKUWA HUMJUI VIZURI HAYATI HUGO CHAVES, SOMA HAPA


MUHTASARI WA HABARI KUBWA DUNIANI LEO NI HIZI, PIA UTAZIPATA KWA KIREFU KUPITIA HAPAHAPA BONMUSIC BLOG


Venezuela's Hugo Chavez dies aged 58 Wednesday, March 06, 2013 08:32:19 AM
Venezuela's President Hugo Chavez dies at the age of 58 after a battle with cancer, his vice-president announces.
World stock markets hit new highs Wednesday, March 06, 2013 12:23:44 AM
New York's Dow Jones share index sets a new all-time high, while London's FTSE 100 closes at it highest level in five years.
Kenyatta ahead in Kenya vote count Wednesday, March 06, 2013 01:20:40 AM
Uhuru Kenyatta, who faces trial at the ICC next month, establishes a large lead over rival Raila Odinga in Kenya's presidential polls, on results from about 40% of polling stations.
Snowstorm hits US Midwest states Wednesday, March 06, 2013 06:17:05 AM
A snowstorm dumps up to 12 inches (30cm) on parts of the US Midwest, cancelling 1,100 flights, before heading to mid-Atlantic states.
Troops search amid Sabah stand-off Wednesday, March 06, 2013 07:53:02 AM
Malaysian troops are searching houses and terrain for armed members of a Filipino clan embroiled in a three-week conflict in Sabah on Borneo island.


HABARI TOKA VENEZUELA: RAIS HUGO CHAVES AMEFARIKI DUNIA

Makamu wa Rais nchini Venezuela  ametangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo Hayati Hugo Chaves aliyekutwa na mauti akiwa umri wa miaka 58 baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kansa kwa muda mrefu.


HABARI TOKA VATICAN CITY: MAKADINALI KUFANYA UCHAGUZI WA PAPA MPYA

Makadinali 142 kati ya 207 wanaotambuliwa na Vatican wameshiriki ufunguzi wa mkutano mkuu mjini Vatican jana, kwa ajili ya maandalizi ya kumpata mrithi wa Papa Benedict XVI.
Mkutano huo unafanyika Makao Makuu ya Kanisa Vatican, kwa ajili ya maandalizi ya kumpata Papa wa 265, makadinali 103 wanaoruhusiwa kupiga kura wakiwa tayari wapo mjini hapa, huku wengine 12 wakiwa njiani kuelekea Kanisa Kuu la Mtakatifu Peter.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...