Vichwa Vya Habari
Language
Sunday, 10 February 2013
BURUDANI: LYRICS ZA BOYFRIEND YA JUSTIN BIEBER HIZI HAPA
"Boyfriend"
[Verse 1]
If I was your boyfriend, I’d never let you go
I can take you places you ain't never been before
Baby, take a chance or you’ll never ever know
I got money in my hands that I’d
[Verse 1]
If I was your boyfriend, I’d never let you go
I can take you places you ain't never been before
Baby, take a chance or you’ll never ever know
I got money in my hands that I’d
MICHEZO: NIGERIA MABINGWA WAPYA AFRIKA
Nigeria mabingwa wapya Afrika 2013,yailaza Burkina Faso 1-0 katika mchezo wa fainali nchini Afrika Kusini.
Mbio za kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika zilizoanza tarehe 19 Januari zimehitimishwa, Jumapili, tarehe 10 Februari kwa Nigeria kuibuka bingwa wa fainali za mwaka 2013 barani Afrika.
Bao la mchezaji Sunday Mba alilofunga katika dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza cha mchezo mjini Johannesburg, ndilo lililowahakikishia The Super Eagles, Nigeria kuwa mabingwa wapya.
Mchezo huo ulianza kwa kasi, timu zote mbili zikishambuliana kwa zamu. Hata hivyo Nigeria ndiyo walionekana kutawala zaidi mpambano huo na kukosa magoli kadha ambayo yangeipa ushindi mnono Nigeria.
Emmanuel Emenike aliibuka mfungaji bora wa mashindano hayo na kupata kikombe, huku Moses Victor akiwa mchezaji bora wa mechi kati ya Nigeria na Burkina Faso.
Mechi hiyo ya fainali ilihudhuriwa na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, akiwa mgeni rasmi, akiambatana na rais wa Fifa Sepp Blatter na rais wa CAF, Issa Hayatou.
The Super Eagles pia waliahidiwa zawadi kem kem, zikiwemo fedha taslim kwa kocha na wachezaji, hata kabla ya kutwaa ubingwa.
Hii ni zawadi kubwa kwa kocha wa Super Eagles, Stephen Keshi ambaye mwaka 1994, wakati Nigeria ilipotwaa ubingwa wa Afrika, alikuwa nahodha wa timu hiyo katika fainali zilifanyika nchini Tunisia.
Pia Nigeria ilitwaa ubingwa mwaka 1980, wakati fainali hizo zilipoandaliwa nchini Nigeria.
Super Eagles kama ilivyo kwa timu nyingine barani Afrika, itakuwa ikijiandaa kikamilifu kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwaka 2014.
HABARI MUHIMU: MAJESHI YA MALI YAFIKA GAO
Mapigano baina ya wanajeshi wa serikali ya Mali na wapiganaji wa
Kiislamu kwa mara ya kwanza yamefika kati-kati ya mji wa Gao, mji mkubwa
kabisa kaskazini mwa nchi.
Anasema ghasia zilianza karibu na makao makuu ya polisi, lakini mapigano yametapakaa.
Wanajeshi wa Ufaransa na Mali waliukomboa mji huo mwezi uliopita.
Shirika la habari la Ufaransa linaeleza kuwa wapiganaji wa Kiislamu waliovaa nguo nyeusi, huku wamebeba bunduki, waliteka eneo la kati ya mji wa Gao, mji wenye wakaazi wengi kabisa kaskazini mwa Mali.
HABARI MUHIMU: KAMA HUKUIPATA HII STORI KUHUSU CHANJO MPYA YA UKIMWI, ISOME HAPA
JOPO la Madaktari wa Chuo wa Kikuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi Muhimbili (MUHAS), limekamilisha utafiti wa chanjo mpya ya
virusi vya Ukimwi, ambao umethibitisha kuwa chanjo ya DNA -MVA ilikuwa
salama na yenye uwezo wa kufanya mwili utengeneze kinga dhidi ya virusi
vya Ukimwi (VVU).
Utafiti huo ulifanyika nchini kati ya mwaka 2007-2010 na 2008-2012.
Utafiti wa awali uliofanyika kati ya mwaka 2007
hadi 2010, ambao ulijulikana kama HIVIS-03, ulihusisha askari 60 polisi
na magereza wa jijini Dar es Salaam, ambao walipewa chanjo hiyo na
baadaye kuachwa wakiishi maisha yao ya kawaida kwa muda wa miaka mitano.
Akizungumza na Mwananchi Jumapili, Profesa
Muhammad
CHADEMA YAWAKABA KOO MAKINDA NA NDUGAI
VIONGOZI na mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) jana walifanya maandamano na kuhitimishwa kwa mkutano wa
hadhara uliofanyika Temeke, jijini Dar es Salaam ambako chama hicho
kilitangaza nia ya kuandaa hoja ya kuwang’oa viongozi wa Bunge.
Hoja hiyo itawasilishwa katika mkutano ujao wa
Bunge kwa ajili ya kuwapigia
HABARI MUHIMU: UTALII WA NGONO UMEIVAMIA TANZANIA
KATIKA hali ya kawaida, tumezoea kuona watalii kutoka mataifa
mbalimbali duniani wakija nchini kuangalia vivutio vya utalii vilivyopo.
Baadhi ya vivutio hivi ni Mlima Kilimanjaro, mbuga za wanyama, majengo ya kale, mapango na nyumba za kihistoria.
Hata hivyo, kumeibuka aina mpya ya utalii,
unaojulikana kama utalii wa ngono, ambao unashamiri kwa kasi ukihusisha
zaidi watalii wanawake wanaofuata wanaume wa Kitanzania hasa vijana.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi Jumapili,
unaonyesha kuwa utalii huo unaongezeka kwa kasi hasa katika maeneo yenye
vivutio vingi vya utalii ikiwamo Arusha, Kilimanjaro na Zanzibar.
MICHEZO: RATIBA MECHI ZOTE ZILIZOBAKI ZA VODACOM PREMIER LEAGUE IKO HAPA
Februari 13, 2013
Kagera Sugar Vs Coastal Union
Toto Africans Vs Polisi Moro
Mgambo JKT Vs JKT Oljoro
Mtibwa Sugar Vs Ruvu Shooting
African Lyon Vs Yanga SC
Februari 20, 2013
JKT Ruvu Vs Azam FC
TZ Prisons Vs
Subscribe to:
Posts (Atom)