Huku nyuma mawaziri wa nchi za kanda hiyo wamekutana mjini Nouakchott,
Mauritania, kujadili swala la Mali wakiwa pamoja na waakilishi wa Umoja wa
Mataifa, Umoja wa Afrika, na Umoja wa Ulaya.
Mwanajeshi huyo aliyeuwawa ni askari wa tano wa Ufaransa kufa kwenye
vita dhidi ya wapiganaji.