Language

Thursday, 28 March 2013

WIDE AWAKE LYRICS-KATY PERRY


"Wide Awake"

I'm wide awake
I'm wide awake

N. KOREA ORDERS ROCKET PREP AFTER US DEPLOYS B-2 STEALTH BOMBERS OVER S. KOREA


North Korea's leader says he is preparing his rocket forces to "settle accounts with the U.S." after the U.S. deployed B-2 stealth bombers to South Korea to participate in a training exercise Thursday.
Kim Jong Un's comments in a meeting with senior generals early Friday are part of a rising tide of threats meant to highlight anger over the drills and recent U.N. sanctions over Pyongyang's nuclear test.
State media says Kim signed a rocket preparation plan and ordered rockets on standby to strike the U.S. mainland, South Korea, Guam and Hawaii.
The U.S. military says the two B-2 stealth bombers sent to South Korea were meant to demonstrate the Pentagon's commitment to defend its ally against threats from North Korea.
The two B-2 Spirit bombers flew more than 6,500 miles from Whiteman Air Force Base in Missouri to South Korea, dropping inert munitions before returning to the U.S., according to a statement released by U.S. Forces Korea.

ADRIANA LIMA


OBAMA: SHAME ON US IF WE'VE FORGOTTEN


President Obama, standing with families of victims of gun violence, Thursday made an emotional appeal for Congress to act on gun control.


"Shame on us if we've forgotten," Obama said in the White House East Room referring to the 26 children and adults killed by a gunman at Sandy Hook Elementary School in Newtown, Conn., on Dec. 14.
"It's been barely 100 days since 20 innocent children and six brave educators were taken from us by gun violence – including Grace McDonnell and Lauren Rousseau and Jesse Lewis, whose families are here today," the president said.
"I haven't forgotten those kids. Shame on us if we've forgotten."
Also there was the mother of Hadiya Pendleton, the 15-year-old honor student killed in January at a park less than a mile from Obama's home in Chicago. The cheerleader had attended Obama's second inaugural in Washington.

SELENA GOMEZ AND JUSTIN BIEBER REUNITE AT HER HOUSE IN L.A.


Justin Bieber stopped by Selena Gomez's home in Encino, California, on Wednesday afternoon before heading back out on tour.

The "As Long As You Love Me" singer -- who arrived with security in a large black van around 3:30 p.m. -- was there for an hour. Gomez was home at the time, as she was seen driving off shortly after her ex left the property.
So were Bieber, 19, and Gomez, 20, attempting to work through their relationship issues in hopes of a reconciliation?
"Definitely not," a source close to the actress emphatically tells omg!. "She is not getting back together with him."
While promoting "Spring Breakers," Gomez made it clear she is enjoying the single life, even joking with David Letterman about making Bieber cry post-split.
"She's really happy right now, surrounding herself around good friends," continues omg!'s source. "She's been working a lot and is excited for everyone to hear her album … including Justin."
Interesting! Let the lyric analysis start now … or, rather, on April 14, when Gomez performs her new single "Come & Get It" at the MTV Movie Awards.
Meanwhile, Bieber is resuming his "Believe" Tour and is set to perform in Munich, Germany, tonight. Unfortunately his days off in L.A. this week didn't exactly go as planned.
The "Beauty and a Beat" singer is being investigated for battery after allegedly spitting in his neighbor's face after a verbal altercation on Tuesday morning. Sources close to Bieber insist that

THIS IS MOST DOWNLOADED TRACK THIS WEEK, NAWE PIA IDOWNLOAD NA KUISIKILIZA HAPA

HII NI PICHA YA CHUI, LAKINI NI BINADAMU KWA MIILI YAO NDIO WAMEITENGENEZA TASWIRA HII


SASA NI AMINI NA LINAH TENA


Kama wewe ni mpenzi wa burudani na ni mfuatiliaji mzuri wa muziki wa kizazi wa kizazi kipya hapa Tanzania basi ni lazima unawajua vizuri ESTELINA Sanga ‘Linah’ na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Amini Mwinyimkuu ‘Amini’.
Wakali hao wamenaswa katika pozi jipya la kimahaba zaidi baada ya lile busu lililoonekana katika jukwaa la fainali za EBSS mwaka jana walipokuwa wakiutambulisha wimbo uitwao ‘Mtima Wangu’.
Picha hiyo inayowaonesha wawili hao wakiwa ndani ya gari huku mwanadafada akimbusu Amini, imedakwa juzikati katika mtandao wa BBM, ambapo wadau wanaotumia mtandao huo waliwapongeza kwa kurudiana.
Baada ya mwandishi wetu kumtafuta Linah, alipopatikana alijibu kwa kifupi kwamba hana tatizo na Amini hivyo yupo huru kwa lolote mbele yake na wanafanya naye kazi kwa karibu.
Kwa upande wake Amini,  alipoulizwa juu ya ishu hiyo alitiririka: “Linah ni mtu wangu hivyo sina ubaya naye kwa kila kitu hatujawahi kugombana wala kusutana picha zisiwashtue watu,” alisema Amini.

KAMA UMESIKIA SAKATA LA MARINGO SABA KUNYWA SUMU BAADA YA KUMFUMANIA MKEWE, MKASA WOTE UPO HAPA


MCHEKESHAJI wa Kundi la Mizegwe, Rashid Coster ‘Maringo Saba,’ anadaiwa kumfumania mkewe anayefahamika kwa jina la mama Zai kisha kuamua kunywa sumu ikisemekana kuwa alitaka kujiua kwa hasira.

Chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina kimenyetisha kuwa, Maringo Saba aliandaa mtego wa fumanizi baada ya kuhisi mkewe anamsaliti kwa rafiki yake anayefahamika kwa jina moja la Sam.
Chanzo hicho kilizidi kushuka na mistari kwamba, baada ya staa huyo kuandaa mtego, ulizaa matunda Jumatano ya Machi 20, mwaka huu ambapo alimfumania mkewe akijivinjari na jamaa.
Sosi huyo alizidi kubainisha kuwa, mke wa Maringo Saba alipoona mumewe amemjazia umati kwa fumanizi hilo, alitimua mbio kwa vile ilidaiwa Maringo Saba alitishia kumfanyia kitu mbaya.
“Ilikuwa vurumai, watu waliokusanyika kufanya fumanizi walimtembezea kichapo Sam kabla hajafanikiwa kuchoropoka kwenye himaya ya chumba hicho na kujisalimisha katika Kituo cha Polisi Mwananyamala CCM,” kilisema chanzo.
Chanzo kingine kilicho karibu na mchekeshaji  huyo (jina lipo) kilidai kuwa, baada ya tukio hilo, Maringo Saba alikutwa chumbani kwake amezidiwa ndipo ndugu zake walipomkimbiza kwenye Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.

TIMBULO: SKENDO HAZIJACHANGIA KUNIONGEZEA UMAARUFU


Msanii wa bongofleva Timbulo amesema kuwa yeye si msanii ambaye amepata umaarufu kutokana na skendo kuliko kazi anayofanya ya muziki.

Timbulo amesema kuwa watu wanaosema kuwa yeye anapendwa kutengeneza skendo ili aandikwe kwenye magazeti wanakosea kwa kuwa angetaka kufanya hivyo basi angekuwa anatengeneza stori nzuri na si za kumchafua.
Msanii huyo alisema kuwa hajawahi kufanya kitu kama hicho kabisa, "kuna vitu vya kutengeneza lakini si kashfa ambayo inaweza kuwa kidonda cha milele, ningekuwa nataka kutengeneza kashfa nzuri basi ni bora ningetengeneza stori za uwongo kuwa nimeenda kutoa msaaada sehemu flani lakini si kwa kujichafua jina langu".
Tangu atoke na wimbo wa kwanza 'Domo langu' mwaka 2011 msanii huyo amekuwa akiandikwa kwenye magazeti kwa skendo kuliko kazi anazofanya.

MSHAHARA KIMA CHA CHINI KUTANGAZWA MWEZI APRILI


Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka amesema mwezi ujao wanatarajia kutangaza kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta zote.

Akizungumza jana wakati wa mkutano kuhusu sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa Baraza Kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), alisema kwa muda mrefu kiwango cha kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta zote kilikuwa hakijabadilishwa.
“Kwa muda mrefu tulikuwa hatujatangaza kima cha chini cha mshahara, lakini nafurahi kuwajulisha tu kwamba mwezi ujao tutatangaza rasmi,”alisema Kabaka.
Pia alitahadharisha kuhusu utitiri wa vyama katika sehemu moja ya kazi kushauri waajiri wasiruhusu wafanyakazi waanzishe kwa sababu vitakosa nguvu ya kujadiliana na mwajiri katika kufunga mikataba ya hiyari .
Waziri huyo alisema sekta ya hifadhi ya jamii ina idadi ndogo ya wanachama waliojiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ukilinganisha na idadi ya nguvu kazi iliyopo ambayo ni milioni 22.
Awali Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii, Irene Isaka alisema hadi sasa michango katika mifuko hiyo imefikia Sh 1.4 trilioni na kwamba mafao yanayolipwa yamepanda kutoka Sh500 bilioni hadi kufikia Sh 724 bilioni.

VIONGOZI WA DECI KUHUKUMIWA HIVI KARIBUNI


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,  Mei 10, mwaka huu inatarajia kupanga siku ya hukumu ya  kesi  ya kuendesha na kusimamia mchezo wa upatu inayowakabili vigogo wa Taasisi ya Deci  Tanzania Ltd.

Hakimu Mkazi, Stuwart Sanga, jana   alizitaka upande zinazohusika katika kesi hiyo, kuwasilisha mahakamani hoja zao kama washtakiwa wana hatia ama la.
Alisema “hoja hizo zinapaswa kuwasilishwa Mei 10 na kwamba siku hiyo hiyo atapanga siku ya hukumu.”
Hatua hiyo imekuja baada ya vigogo wa Deci, kumaliza kutoa utetezi wao kuhusu  mashtaka mawili yanayowakabili.
Mashtaka hayo ni pamoja na kuendesha mradi wa upatu kinyume na sheria za taasisi za fedha na kuendesha mradi huo bila kibali.
Julai 17, mwaka jana mahakama hiyo, iliwaona washtakiwa hao kuwa wana kesi ya kujibu na kuwataka kujitetea  baada ya mashahidi 16 wa upande wa mashtaka, kutoa ushahidi wao.
Katika kesi hiyo, inadaiwa kuwa kati ya mwaka 2007 na  Machi 2009, washtakiwa walikuwa wanachukua amana za watu bila ya kibali.

MBUNGE WA CHAMBANI (CUF). SALIM HEMED KHAMIS AMEFARIKI DUNIA


Habari zilizotufikia mchana huu zinasema,Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge,amefariki.



Amefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mipango ya mazishi na kumsafirisha inafanyika, kwa habari zaidi ungana nasi baadae. au soma gazeti la mwananchi kesho.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...