Language

Friday, 15 March 2013

HABARI PICHA: STAA WA BONGO MOVIE TINO


HABARI MUHIMU: AFYA YA MAMA NA MTOTO

Lala pamoja na mtoto wako kwenya 

chandarua chenye dawa kila siku kuzuia malaria. 
Muwahishe mtoto ndani ya 

masaa 24 kwenye kituo cha kutolea huduma za afya iwapo utahisi 

anaumwa.

MITINDO: FOR DUDES


MICHEZO: MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA EPL


BURUDANI: LYRICS: ONE DOSE-BOBBY V

You’re super fine yeah you know
I’m tryin put you on my ..
I’m tryin to keep you on my side
take..is good for you

MICHEZO: HIZI NDIO MECHI KUBWA ZA LEO DUNIANI


BARUDANI: FLAVIANA MATATA AMEWALIST WANAMUZIKI 9 WA BONGO FLEVA ANAOWAPENDA ZAIDI

Mwanamitindo ambaye anaendelea kupeperusha vizuri bendela ya Tanzania duniani kupitia tasnia ya urembo, Flaviana Matata, leo ametweet katika account yake ya tweeter na kuwataja wanamuziki ambao yeye anawakubali kwa kazi zao.



Flaviana amewalist wanamuziki hao kuwa ni MwanaFA, Ay, Professor Jay, Lady Jaydee, FidQ, C Pwaa, Ngwair, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz.

MICHEZO: TFF YAPIGA MARUFUKU FREE PASS VIWANJANI


Kutokana na uamuzi huo hakutakuwa tena na pasi za bure kwa ajili ya kushuhudia mechi zilizo chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa TFF katika viwanja mbalimbali nchini.
Uamuzi huo umetokana na ukweli kuwa free pass zimekuwa zikipunguza au kuchukua mgawo wote wa TFF kwenye mechi, na wakati mwingine Shirikisho hulazimika kutoa fedha za ziada kugharamia pasi hizo.
Pasi zote ambazo imekuwa ikitoa kwa wadau wake hukatwa katika mgawo wa TFF katika mechi husika. Shirikisho hivi sasa linapata asilimia nne tu ya mapato katika mechi za Ligi Kuu, ligi ambayo hivi sasa inaendeshwa na Kamati yake ya Ligi.

HABARI KWA UFUPI: HIZI NDIO STORY 10 KUBWA DUNIANI LEO MACHI 15 KWA UFUPI


Vatican denies Dirty War allegations Friday, March 15, 2013 8:01:46 AM
The Vatican has denied that Pope Francis failed to speak out against human rights abuses during military rule in his native Argentina.
France defends Syria weapons plan Friday, March 15, 2013 9:19:09 AM
France's president defends his plan to supply arms to Syria's rebels, as activists mark two years since the start of the anti-government uprising.
Top US Republican favours gay unions Friday, March 15, 2013 8:12:20 AM
Influential Republican Senator Rob Portman renounces his opposition to gay marriage, saying his change of heart came after learning his son was gay.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...