Mwanamitindo ambaye anaendelea kupeperusha vizuri bendela ya Tanzania duniani kupitia tasnia ya urembo, Flaviana Matata, leo ametweet katika account yake ya tweeter na kuwataja wanamuziki ambao yeye anawakubali kwa kazi zao.
Flaviana amewalist wanamuziki hao kuwa ni MwanaFA, Ay, Professor Jay, Lady Jaydee, FidQ, C Pwaa, Ngwair, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz.
No comments:
Post a Comment