"I Cry"
I know
Caught up in the middle
I cry just a little
When I think of letting go
Oh no
Caught up in the middle
I cry just a little
When I think of letting go
Oh no
Mahakama ya Juu (Supreme Court) nchini Kenya jana ilitupilia mbali viapo
viwili katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Uhuru
Kenyatta wa Muungano wa Jubilee.
'Muziki Gani' wimbo ulioimbwa na Naseeb Abdul 'Diamond' pamoja na Nay wa
Mitego uliojipatia umaarufu mkubwa tangu kutolewa wiki mbili zilizopita,
umeshaenea kwa Watanzania wengi huku wasanii hao wakidai kuwa hawajapata hata
shilingi 100 kupitia wimbo huo.
Rais wa zamani wa Zambia Rupiah Banda amesema hana hatia katika kesi
anayokabiliwa nayo ya kutumia vibaya mamlaka wakati wa kipindi chake cha
uongozi.
Shirika la kutetea haki za kibinadamu, Human Rights Watch, limesema kuwa
makundi yaliyojihami nchini Somalia ikiwemo majeshi ya serikali, yamefanya
vitendo vya ubakaji, kuwachapa na kuwadhulumu watu walioachwa bila makao au
wakimbizi.
Baraza la Senate nchini Brazil, limepitisha bila pingamizi, mswaada wa
kihistoria unaowapa haki sawa wafanyakazi wa majumbani na wale na maofisini
kote nchini.