Language

Saturday, 16 March 2013

MICHEZO: MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA BAADA YA MECHI ZA MACHI 16


HABARI KWA UFUPI: KAMA HUKUZIPATA STORY KUBWA ZA MACHI 16 ZIKO HAPA KWA UFUPI


Shock in Cyprus over bailout levy Saturday, March 16, 2013 12:36:02 PM
People in Cyprus react with shock to news of a one-off levy of up to 10% on savings as part of the 10bn-euro bailout agreed in Brussels.
Pope Francis wants 'Church for poor' Saturday, March 16, 2013 4:40:13 AM
Pope Francis says he wants a "poor Church for the poor" as he confirms he took his name from the 12th Century saint, Francis of Assisi.
Wales 30-3 England Saturday, March 16, 2013 12:27:16 PM
A record 30-3 win over England sees Wales retain the Six Nations title - and deny the visitors a Grand Slam into the bargain

HABARI PICHA: HIVI KWELI DADA ZETU WA TANZANIA MMEFIKIA HATUA HII? HEBU IANGALIE VIZURI PICHA HII


HABARI KWA UFUPI: HIZI NDIO HABARI KUBWA ZA LEO MACHI 16 DUNIANI KWA UFUPI


Pope Francis wants 'Church for poor' Saturday, March 16, 2013 4:40:13 AM
Pope Francis says he wants a "poor Church for the poor" as he confirms he took his name from the 12th Century saint, Francis of Assisi.
US cuts Europe missile shield phase Saturday, March 16, 2013 2:14:07 AM
US Defence Secretary Chuck Hagel scraps the final phase of its European missile defence shield, citing development problems and funding cuts.
Odinga files Kenya election appeal Saturday, March 16, 2013 4:56:00 AM
Kenyan Prime Minister Raila Odinga files a Supreme Court appeal against Uhuru Kenyatta's narrow victory in the first round of the presidential election.

BURUDANI: LYRICS; TONIGHT-JOHN LEGEND FT. LUDACRIS


JOHN LEGEND LYRICS

"Tonight (Best You Ever Had)"
(feat. Ludacris)
Ah, alright.

Ain't this what you came for
Don't you wish you came, oh
Girl what you're playing for
Ah, come on
Come on, let me kiss that
Ooh, I know you miss that
What's wrong, let me fix that
Twist that

HABARI PICHA: BONGO ACTRESS JENIFFER KYAKA (ODAMA)


BURUDANI: RAPA THE GAME NA TATOO YA OBAMA TUMBONI



MICHEZO: HII NDIO RATIBA YA MECHI KALI ZA LEO MACHI 16 ENGLAND, ITALY NA SPAIN


HABARI MUHIMU: KENYATTA APATA MTIHANI WA KWANZA, BEI YA MAFUTA IMEPANDA KENYA

Tume ya Nishati  imetangaza ongezeko la bei ya petroli kwa Sh4.12 na kuibua hofu kwamba huenda kiwango cha mfumuko kikapanda tena.

Hii ni mara ya pili kwa bei kupanda baada ya kushuka kwa muda. Petroli sasa itauzwa Sh117.69 kwa lita Nairobi.
Bei ya dizeli ilipanda kwa Sh1.17 hadi Sh107.37 kila lita jijini, nayo mafuta taa yakapanda bei kwa Sh2.61 hadi Sh88.54 kwa lita.

BURUDANI: LULU AFUNGUKA KUHUSU KANUMBA KATIKA TWEETER



HABARI MUHIMU: UYANYASAJI WA WANAWAKE KUENDELEA?

Zaidi ya mashirika 12 ya kutetea haki za binadamu na haki za wanawake kutoka mataifa ya kiarabu yameonya kuwa azimio la UN la kukabili unyanyasaji wa wanawake linatishiwa na upinzani kutoka kwa chama cha Muslim Brotherhood kutoka Misri, uongozi wa Vatican na Urusi.

HABARI MUHIMU: ZITTO NA CHEYO HAPAKALIKI

Hatimaye Bunge limetangaza mabadiliko ya wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge zinazotarajiwa kuanza kukutana kuanzia Jumatatu ijayo, huku baadhi ya vigogo wakiwekwa katika kamati moja na kufanya zoezi la kuchagua wenyeviti wa kamati hizo kuwa gumu.


Uteuzi wa majina ya wajumbe hao unakuja mwezi mmoja tangu kumalizika kwa Mkutano wa 10 wa Bunge ambapo, Spika wa Bunge, Anne Makinda alitangaza mabadiliko ya kamati hizo, huku akiifuta Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) iliyokuwa ikiongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Kutokana na mabadiliko hayo, shughuli za POAC sasa zitafanywa na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC).

HABARI MUHIMU: ALIYEWAUNGUZA MIDOMO WATOTO WAKE MOROGORO KUFIKISHWA MAHAKAMANI


Polisi mkoani Morogoro, wanamshikilia mkazi mmoja wa Ujenzi, mjini Morogoro kwa tuhuma za kuwaunguza midomo, watoto wake wawili kwa madai kuwa waliiba  na kula  karanga zake.

Kamanda wa Polisi mkoani humo,  Faustine Shilogile, alisema tukio hilo lilitokea mapema wiki hii na kwamba mmoja wa watoto hao ana umri wa miaka kumi na mwingine, mitano.
Kamanda Shilogile alisema mtuhumiwa  alikwishaachana na mama wa watoto hao ambao kwa sasa amekuwa akiishi nao.
Alisema karanga hizo zilikuwa ni za biashara ya baba yao na kwamba taarifa za tukio hilo, zilitolewa na walimu wa Shule ya Msingi Msamvu B ambako watoto hao wanasoma.
Kamanda Shilogile alisema walipofikishwa katika kituo cha polisi na kuchukuliwa maelezo, watoto hao  walipelekwa hospitalini kwa matibabu na kwamba mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.

HABARI MUHIMU: HIVI UNAJUA KUWA PAPA FRANCIS I ALIKUWA BAUNSA WA MLANGONI BAA? SOMA HAPA UYAJUE MAISHA YAKE

Papa Francis I aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

Enzi ya ujana wake aliwahi kufanya kazi mbalimbali ikiwamo ya mlinzi wa mlangoni (baunsa) katika Bar, ili kujipatia fedha.
Papa Francis aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

HABARI MUHIMU: VYETI VYA WALIMU KUCHUNGUZWA KWA KINA

Wadau wa elimu Halmashauri ya Wilaya ya Bunda,  mkoani Mara, wameshauri Serikali kufanya ukaguzi wa kina wa vyeti vya taaluma za walimu, ili kubaini kama wanaovitumia ndiyo wamiliki wake halisi. 

Hatua hiyo  inatokana na vyeti hivyo kuonyesha ufaulu mzuri kwa baadhi ya walimu wilayani hapa, lakini hawana uwezo wa kufundisha darasani.
Wakichangia maoni kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya elimu wilayani hapa uliofanyika juzi, wadau hao walisema hali hiyo inaifanya shule kuwa na idadi kubwa ya walimu, lakini  hawana taaluma ya ualimu.
Walisema kwamba hali hiyo ndicho chanzo cha  kushusha kwa taaluma shule za msingi na sekondari.

HABARI PICHA: WAKATI UNATUPA MTOTO AU KUTOA MIMBA WENGINE WANAENJOY NA WANAO



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...