Language

Friday, 3 May 2013

IANGALIE VIDEO MPYA YA PSY - GENTLEMAN (Music Video) HAPAHAPA

ITAZAME HAPA VIDEO MPYA RAY J- "I HIT IT FIRST" (Official Music Video)

MAMBO MAKUBWA YANAYOWEZA KUFANYA UKACHUKIWA NA MPENZI WAKO


WAKATI mwingine huwa unajisikia kumchoka mpenzi wako, kuchukua jukumu la kumuacha wako mpenzi, kumkaripia wako mpenzi, kumuona kama anakasoro fulani hivi, kumuona hakufai au hafai kuishi na wewe ikiwa pamoja na kutamani kuoa au kutafuta mwingine mpenzi.
Yote haya mambo huwa yanatokea kwa binadamu wa jinsia zote. Sasa nakuuliza kwanini unafikia hatua ya kufanya mambo kama hayo? Kama kweli uliamua kumpenda mpenzi wako ya nini tena kumchukia na kumuona hakufai?
 
Watalaam wa masuala ya mapenzi wanabainisha kuwa kumchukia mpenzi kunasababishwa na vitu vingi sana, ambapo mwanasaikolojia na mtaalam wa masuala ya love Haliet Julliu alifafanua katika kitabu chake cha "Bad Love - 2008" kuwa jambo la kwanza ambalo linamfanya mpenzi wako kukuchukia ni:
 
i)Uchafu wa mwili wako pia unapokuwa mchafu ndio unaongeza hatari ya kuchukiwa na mpenzi wako.
ii)Uchafu wa nyumba au chumba ambacho unakaa na mpenzi wako hasa hili linawahusu mwanawake, jambo hili huwa linawakera wanaume.

MATOKEO YA MECHI ZA MAY 3 HAYA HAPA


GAZETI LA IJUMAA LA LEO LIMEBEBA HABARI HIZI; WOSIA KIFO CHA JIDE;WEMA AJINUNULIA MASHINE YA KUFANYIA MASAJI


KAMA NA WEWE UNASUMBULIWA TATIZO LA KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO LA NDOA, PATA SULUHISHO HAPA


Takwimu zinaonesha kuwa zaidi ya Robo (25%) ya wanaume duniani kote husumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa na kushindwa kurudia tena mchezo!

Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.

• Jenga tabia ya kufanya mazoezi:
Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kupizi. Hii hutokana na hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.
 • Pumua vizuri na kikamilifu:
Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia kupizi mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano.
 • Mshirikishe mwenzako kikamilifu:
Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kukojoa haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema 'ngoja' na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo.

JOSE MOURINHO MOVES CLO TO CHELSEA RETURN AS REAL MADRID COACH LOWERS DEMAND


Mourinho’s representatives have re-opened a dialogue with the Premier League club over the past few days in the hope that Roman Abramovich can finally be persuaded to take back the manager who left amid acrimony in September 2007, although no deal has yet been agreed. 
As Chelsea’s search for a manager to replace Rafael Benítez intensified, so too did their attempts to revitalise their playing squad. It is believed that Chelsea have made another move to eventually sign Brazilian striker Neymar, with technical director Michael Emenalo having travelled to Brazil to watch him play.
Although there is a groundswell of support from within Chelsea for Mourinho to return, it is believed that Abramovich, the club’s owner, has proved more reluctant as he did not enjoy the aggravation around the manager. He also gave Mourinho an £18 million pay-off.
This time Mourinho is understood to have initially demanded a salary of £12 million a year, a get-out if Chelsea fail to finish in the top four and, most crucially, control of transfers in the belief that the club would simply welcome him back. These demands were rejected.

UKAME ULIUWA ZAIDI YA WATU 260,000 SOMALIA


Takriban watu 260,000 walifariki dunia wakati wa ukame ulioikumba Somalia kuanzia mwaka 2010 hadi 2012, utafiti umebaini.

Nusu ya waliofariki dunia walikuwa ni watoto wenye umri chini ya miaka mitano, inaeleza ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO, pamoja Mtandao wa Kuonya Mapema Kuhusu Majanga ya Ukame unaofadhiliwa na Marekani.
Idadi ya vifo ilikuwa kubwa kuliko ile iliyokadiriwa ya watu 220,000 waliofariki wakati wa ukame wa mwaka 1992.
Janga hilo lilisababishwa na ukame mkali, uliochochewa na mapigano kati ya makundi hasimu yaliyokuwa yakigombea madaraka.
Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza ulitangaza hali ya ukame Julai 2011 katika mikoa ya Somalia ya Bakool uliopo kusini na ule wa chini wa Shabelle, ambayo ilikuwa inadhibitiwa na kundi la wanamgambo wa Al – Shabab wenye mafungamano na Al – Qaeda.
Lakini kundi hilo lilikanusha kuwepo kwa hali hiyo na kuyapiga marufuku mashirika kadhaa ya misaada ya nchi za magharibi kufanya shughuli zake katika maeneo hayo.

BALOTELI AMEACHWA NA MPENZI WAKE KISA REAL MADRID


Balotelli Apigwa Chini Na Demu Wake Baada Ya Kusema Ataruhusu Wachezaji Wote Wa Madrid wafanye naye mapenzi.
 

Mario Balotelli amepigwa chini na aliyekuwa demu wake aitwaye Fanny Neguesha siku chache mara baada ya kusema timu nzima ya Real Madrid itaweza kulala na demu wake huyo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...