Vichwa Vya Habari
Language
Saturday, 13 April 2013
BACKSTREET BOY'S SHOCKING HAIR TRANSPLANT PHOTOS
Nineties teen heart throbs get hair transplants, too. Backstreet
Boy AJ McLean posted before and after photos of his new hair transplant on Instagram.
“Some girls get there [sic] boobs done some guys get abb implants all
to make them happy! This was the one thing I did and I couldn’t be happier
thank u dr G!!!!” he posted last month.
Through the years McLean, 35, and his band mates have sported crazy do’s from spiky blond
locks to long and curly.
“It looks like they did a wonderful job for him. It looks nice
and natural. He should be very happy with his result,” said hair
transplant surgeon Dr. Brett Bolton.
Hair transplants are much more natural today than they were in the
past.
Labels:
BURUDANI
TIGER WOODS HITS UNLUCKIEST SHOT EVER
Tiger Woods' hit perhaps the unluckiest shot in the history of golf
yesterday, and to add insult to injury, may have inadvertently committed a
rules violation to boot.
On Friday at the Masters, Woods' third shot to the Par-5 15th green was
DEAD on the money, only it hit the flag stick and ricocheted back into the
water.
Woods proceeded to take a drop, knock it close and save bogey,
remaining in contention heading into the weekend, just three shots behind Jason
Day.
The legality of said drop is in dispute, however.
Under the rules, Woods could either hit
from the same spot, a designated drop zone, or anywhere on the line between the
hole and the point where the ball entered the hazard.
During an interview after his round, Tiger stated that he hit the
second approach from two yards behind the original spot, which could lead to
his disqualification.
Labels:
MICHEZO
PRISONERS, GUARDS CLASH OVER GUANTANAMO BAY RAIDY
Months of increased tension at the Guantanamo Bay prison boiled over into
a clash between guards and detainees Saturday as the military closed a communal
section of the facility and moved its inmates into single cells.
The violence erupted during an early morning raid that military
officials said was necessary because prisoners had covered up security cameras
and windows as part of a weekslong protest and hunger strike over their indefinite
confinement and conditions at the U.S. base in Cuba.
Prisoners fought guards with makeshift weapons that included
broomsticks and mop handles when troops arrived to move them out of a communal
wing of the section of the prison known as Camp 6, said Navy Capt. Robert
Durand, a military spokesman. Guards responded by firing four
"less-than-lethal rounds," he said.
Labels:
HABARI MUHIMU
MAN ARRESTED BY FBI FOR IN-FLIGHT FONDLING OF SLEEPING FEMALE PASSENGER
We're sorry, ladies, if you never doze off on a flight again after this,
but ...The FBI arrested a man Friday afternoon for allegedly molesting a
sleeping female passenger on an American Airlines flight from Miami to D.C.
Saurabh Agarwal, 39, was named in a felony complaint and charged with engaging in
abusive sexual contact with the victim, identified by her initials, “R.C.L.”
Agarwal, who was born in India and lives in Sterling, Va., is jailed in
advance of a detention hearing this afternoon in U.S. District Court in
Alexandria.
FBI Agent David Wiegand reported that the victim was seated next to
Agarwal, and fell asleep only to wake up and find Agarwal “hugging her
body."
With "his hand inside her bra, fondling her breasts,” no less.
Labels:
HABARI MUHIMU
GLOBAL PUBLISHERS WAFICHUA DANGURO LA WASANII
Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Global Publishers inazidi kuibua
mazito! Safari hii imefanikiwa kunasa danguro la ufuska linalodaiwa kutumia na
wasanii chipukizi wa muziki na filamu za Kibongo ambalo ni zaidi ya yale
yaliyotendeka enzi za Sodoma kabla ya dunia kuangamia, Risasi Jumamosi lina
ripoti ya kushtua.
Kwa muda mrefu gazeti hili lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume huku baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka kisanaa.
Kwa muda mrefu gazeti hili lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume huku baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka kisanaa.
Labels:
HABARI MUHIMU
AFRICAN LYON NA HOMA YA KUSHUKA DARAJA
Kocha wa African Lyon, Charles Otieno amesema kwa sasa wanaomba Toto
African, Polisi Morogoro wapoteze michezo yao ili wasalimike na janga la kushuka
daraja.
Kocha huyo alikiri hawana njia mbadala ya kukwepa janga la kushuka
daraja kama si kuomba dua mbaya kwa Toto na Polisi tu kwa sasa.
“Siwezi kusema tumeshuka, bado tunamichezo mitatu mkononi endapo
tutashinda uwezekano ni mkubwa wa kuendelea kubaki, hakuna njia ya kutubakiza
zaidi ya Polisi na Toto kupoteza mechi zao ili sisi tuweze kupata nafasi
kinyume na hapo ni lazima tutashuka tu”alisisitiza kocha huyo.
Lyon imebakiza mechi dhidi ya JKT Ruvu, Mtibwa Sugar pamoja na Mgambo
JKT. (Jessca Nangawe)Text inakuja hapa.
Labels:
MICHEZO
BARCELONA KUKUTANA NA REAL MADRID KATIKA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA PALE WEMBLEY?
Barcelona na Real Madrid zinaweza kukutana kwenye fainali ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Wembley, London Mei mwaka huu baada ya ratiba
ya mechi za hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo iliyotolewa jana mchana
kuzitenganisha.
Mechi za kwanza hizo zitachezwa kati ya Aprili 23, na 24 kisha
marudiano kati ya Aprili 30 na Mei. 1. Katika Ligi ya Europa, Chelsea
watasafiri kwenda Uswisi kucheza na Basel Aprili 25, huku Fenerbahce
wakiikabili Benfica. Mechi za marudiano zitachezwa Mei 2.
Chelsea ni timu pekee ya England iliyobaki kwenye mashindano ya Klabu
Ulaya baada ya kusonga mbele kufuatia kuitoa Rubin Kazan ya Russia.
Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, ratiba iliyotolewa jana mjini,
Nyon, Uswisi, iliepusha timu Ujerumani kukutaka kwenye hatua ya nusu fainali,
vilevile timu za Hispania kwenye hatua hiyo.
Labels:
MICHEZO
UMEME WAKATIKA NUSU SAA BAADA YA MITAMBO KUZINDULIWA ZANZIBAR
Huduma za umeme katika Mji wa Zanzibar, jana zilikatika kwa zaidi ya nusu
saa baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa wa umeme kutoka Tanzania Bara.
Uzinduzi wa mradi huo, ulifanywa na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Sherehe za uzinduzi wa mradi huo, zilihudhuriwa pia na wananchi wa maeneo
mbalimbali ya Zanzibar.
Hata hivyo muda mfupi baada ya shughuli hizo, huduma za umeme katika
Mji wa Zanzibar, zilikatika kuanzia saa 9 mchana na kudumu kwa zaidi ya
nusu saa.
Meneja wa Shirika la Umeme la Zanzibar (Zeco), Mbarouk Hassan, alithibitisha kuwa huduma zilikatika na kwamba tatizo lilikuwa Tanzania Bara.
Meneja wa Shirika la Umeme la Zanzibar (Zeco), Mbarouk Hassan, alithibitisha kuwa huduma zilikatika na kwamba tatizo lilikuwa Tanzania Bara.
Labels:
HABARI MUHIMU
UBADHIRIFU WA PESA ZA UMMA NCHINI TANZANIA
Maoni mbalimbali yanaendelea kutolewa nchini Tanzania juu ya ripoti ya
mdhibiti mkuu na mkaguzi wa hesabu za serikali nchini humo, iliyomulika kiwango
kikubwa cha ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali hiyo.
Ripoti hiyo imeaziangazia sekta au idara ya ujenzi, nishati na
madini kuwa miongoni mwa idara zinazokuwa na ubadirifu wa fedha za umma.
Hata hivyo swali linaloulizwa ni je tatizo liko wapi kiasi ya kuwapo
ubadhirifu mkubwa wa mara kwa mara katika fedha za umma? Amina Abubakar
amezungumza na Profesa Ibrahim Lipumba ni mtaalamu bingwa wa uchumi nchini
Tanzania.Kusiikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Labels:
HABARI MUHIMU
WAKIMBIZI MALI WAPO HATARINI, VIFO VYA WATOTO VYAZIDI KUONGEZEKA
Wakimbizi 74 elfu wa Mali wamekwama katika jangwa la Mauritania
wakikumbwa na ukosefu wa maji na idadi ya vifo vya watoto ikizidi
kuongezeka,linasema shirika la madaktari wasiokuwa na Mipaka-Medecins Sans
Frontiere.
Mzozo wa Mali umepelekea zaidi ya watu laki mbili na 70 elfu kuyapa
kisogo maskani yao na kuranda randa ndani nchini huku wengine zaidi ya laki
moja na 70 elfu wakikimbilia katika nchi jirani na hasa Burkinafasso,Mauritania
na Niger.
Katika jangwa la Mauritania ambako hali ya hewa inapindukia nyuzi joto
50 kivulini, kambi ya wakimbizi ya Mbera inawapokea watu 74 elfu
"walionasa jangwani" - kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Madaktari
Wasiokua na Mipaka-Medecins Sans Frontièren-MSF.Watu hao wamekimbia
mapigano,chuki za kikabila,ukosefu wa chakula na kuvurugika mfumo wa huduma za
jamii.
Labels:
HABARI MUHIMU
MBUNGE ALLY KEISSY ATAKA BANGI IHALALISHWE TANZANIA
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy (CCM), jana aliwavunja mbavu
wabunge baada ya kuitaka Serikali kutoa tamko la kuruhusu bangi kuwa zao halali
la biashara kwa manufaa ya nchi na wananchi wake.
Keissy ambaye amezoeleka bungeni kama mzee wa kulipua mabomu, alitoa
kauli hiyo kupitia swali lake la nyongeza ambapo alisema zao la tumbaku nchini,
halina maana kwa sasa zaidi ya bangi.
“Mimi naona hakuna sababu ya kuendelea kusimamia mazao ambayo hata
dunia nzima wanayakataa kwa sababu yana ugonjwa wa kansa, leo Serikali itoe
tamko ni lini itaruhusu zao la bangi kulimwa kama zao la biashara ili wananchi
walime kwa uhuru,” aliuliza Keissy.
Alisema kuna faida kubwa katika kulima bangi kuliko kuendelea kulima
zao ambalo watu wengine duniani wameliona kuwa halifai.
Katika swali lake la msingi, Mbunge wa Mpanda Vijijini, Selemani Kakoso
(CCM), alitaka kujua ni lini zao la tumbaku litaingizwa kwenye ruzuku ya
Serikali ili kupunguza gharama za pembejeo kwa wakulima wa zao hilo.
Labels:
HABARI MUHIMU
PANYA WANAOTAMBUA MABOMU WAFANYIWA MAJARIBIO MOROGORO
Shirika moja lisilo la kiserikali la Ubelgiji APOPO limeanza kuwafundisha
panya namna ya kutambua mabomu yaliyofukiwa ardhini. Panya hao ambao ni wakubwa
kuliko panya wa kawaida wanafanyiwa majaribio Morogoro Tanzania .Inaaminika
wanauwezo mkubwa wa kunusa kuliko mbwa. Hii inatokana na kuwa pua zao zipo
karibu na ardhi,hali ambayo inawasaidia katika kazi yao ya utambuzi wa mabomu.
Labels:
HABARI MUHIMU
POLISI WAUA MAHABUSU MBEYA
Polisi mkoani Mbeya wanatuhumiwa kumshushia kipigo Barnabas Kahemele
akiwa mahabusu na kusababisha kifo chake.
Kufuatia tukio hilo, ndugu wa marehemu Kahemele wamegoma kuuchukua
mwili wa marehemu huyo uliohifadhiwa katika chumba cha maiti cha Hospitali ya Rufaa
Mbeya wakidai kwamba mazingira yanaonyesha kuwa kifo chake kimetokana na kipigo
cha polisi baada ya kumkamata.
Inadaiwa kuwa marehemu na wenzake wawili walikamatwa usiku ya Jumatano
wiki hii, baada ya askari hao kufika nyumbani kwa marehemu, eneo la Uyole ya
Kati. Mke wa marehemu Sara Muhwanji, alidai kuwa wakiwa wamelala walisikia mtu
akigonga hodi na ndipo alipoamka na kutoka sebuleni.
“Nilitoka sebuleni na kuuliza nani anayegonga, ndipo nikasikia sauti ya
mtu anasema kuwa mimi Mhagama, huyo ni jirani yetu pale nyumbani. Lakini
sikufungua mlango na nikaenda kumwamsha
Labels:
HABARI MUHIMU
SASA MIPAKA YA SUDAN YA KUSINI KUFUNGULIWA
Rais Omar al-Bashir wa Sudan, katika ziara yake ya kwanza mjini Juba
tangu nchi ya Sudan ya Kusini kuwa huru mwaka 2011, ametangaza mipaka kati ya
nchi hizo mbili kufunguliwa.
Akizungumza akiwa na rais mwenzake, Salva Kiir, Bw Bashir alitaka pia
mataifa hayo mawili kudumisha amani, na kuimarisha uhusiano wa kawaida tena.
Hali ya uhasama iliongezeka kati ya mataifa hayo mawili mwaka jana,
huku kukiwa na wasiwasi wa kuzuka vita.
Uhasama huo umepungua, lakini tofauti kuhusiana na mafuta na ardhi bado
upo kati ya nchi hizo mbili.
"Nimewaamuru maafisa wa serikali ya Sudan chama cha maslahi ya
raia kushirikiana na ndugu zao katika Jamhuri ya Sudan ya Kusini", Bw
Bashir alieleza katika hotuba yake katika mji mkuu wa Sudan ya Kusini, Juba.
Labels:
HABARI MUHIMU
Subscribe to:
Posts (Atom)