GLOBAL PUBLISHERS WAFICHUA DANGURO LA WASANII
Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Global Publishers inazidi kuibua
mazito! Safari hii imefanikiwa kunasa danguro la ufuska linalodaiwa kutumia na
wasanii chipukizi wa muziki na filamu za Kibongo ambalo ni zaidi ya yale
yaliyotendeka enzi za Sodoma kabla ya dunia kuangamia, Risasi Jumamosi lina
ripoti ya kushtua.
Kwa muda mrefu gazeti hili lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja
iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti
chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume huku
baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka
kisanaa.
No comments:
Post a Comment