Habari zilizotufikia mchana huu zinasema,Mbunge wa Chambani(CUF),Salim
Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya
Bunge,amefariki.

Amefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mipango ya mazishi na
kumsafirisha inafanyika, kwa habari zaidi ungana nasi baadae. au soma gazeti la
mwananchi kesho.
No comments:
Post a Comment