Vichwa Vya Habari
Language
Sunday, 28 April 2013
Saturday, 27 April 2013
JUSTIN BIEBER HANA MSIMAMO KWA WANAWAKE, KAMBWAGA JASMIN VILLEGAS NA KUMRUDIA SELENA GOMEZ
Baada ya tetesi na ushahidi mwingi niliowahi kukupatia kupitia hapahapa BONMUSIC
BLOG kuhusu Justin Bieber kurudiana
na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Selena Gomez na kumuacha njia panda Jasmine
Villegas ambaye ndiye mpenzi wake mpya, sasa Justine ametuma Hot picture katika
Instagram, picha inayoashiria kila dalili ya mapenzi mazito kati yao.
![]() |
Na kama picha ya Justin
Bieber na Selena Gomez haitoshi kuelezea kilichopo kati yao kwa sasa,
maandishi yaliyo chini ya picha hiyo (caption) yameandikwa “umetengeneza muziki
kwa muda mrefu mpenzi, njoo unikumbatie”…ni dhahiri kuwa maneno hayo
yameandikwa na Selena Gomez.
![]() |
| Jasmine Villegas |
Pamoja na hilo, Beliebers na Seleantors wanazunguka pande mbali mbali
za dunia pamoja wakisherehekea kwa kilichotokea ni official confirmation kuwa
wawili hao wako katika dimbwi la mapenzi tena.
Ni wazi kuwa Justin ameamua kuliweka penzi lake hadharani kwani wiki
iliyopita pia nilikiujuza kupitia hapahapa na kukuonesha picha iliyowaonesha
wawili hao wakikiss wakati Justin akiwa back stage.
Justin na Selena kupiga na kuweka picha nyingine za kimahaba? Katika picha
hiyo Selena pia hakuwa na shirt kama Justin? Where are her hands positioned? Na
nini kilifuata baada ya hiyo picha kupigwa?
Labels:
BURUDANI
SIZE 8 AILILIA BIKRA YAKE BAADA YA KUOKOKA
Mwanamuziki aliyeitikisa vilivyo
Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na miziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa
ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo mbali mbali vya redio na Tv
kuhusiana na maisha mapya ya kidini.
Kati ya yote ambayo Size 8 amekuwa akiyaongelea, ni moja tu ambalo
amekuwa akilitilia mkazo kwa kumaanisha kuwa linamsikitisha zaidi ni suala lake
la kupoteza BIKRA, Size 8 amewaambia watu kuwa "Najutia sana kupoteza bikra yangu. Ninaamini
kuwa kijana anatakiwa kujilinda na kujizuia kufanya ngono katika ujana wake wote
mpaka atakapo pata kibali toka kwa Mungu."
Pamoja na hayo yote Size 8 amewakata mate wanaume wote wakware (wapenda
ngono) kuwa sasa hana tena nia ya kujiingiza katika mahusiano yoyote ya
kimapenzi na badala yake anatafuta MTU MMOJA atakaye kuwa mwanaume wake wa
maisha.
Inasemekana kuwa Size 8 alifanya maamuzi ya kuokoka baada ya
kufanya mapenzi na mwanaume ambaye
baadae alimdanganya kuwa ameathirika na HIV, lakini yeye hajaliongea ilo katika
interview zake.
Labels:
BURUDANI
HABARI KUBWA TOKA BBC LEO APRILI 27
Arrests over Dhaka building collapse Saturday, April 27,
2013 1:28:51 AM
Two owners of garment factories in the building that collapsed in Bangladesh are arrested, as 24 more people are rescued from the rubble.
Two owners of garment factories in the building that collapsed in Bangladesh are arrested, as 24 more people are rescued from the rubble.
American faces trial in North Korea Saturday, April 27,
2013 1:37:48 AM
North Korea is to issue a verdict soon on a US citizen on charges including attempting to overthrow the government, the official news agency says.
North Korea is to issue a verdict soon on a US citizen on charges including attempting to overthrow the government, the official news agency says.
Boeing Dreamliner takes off again Saturday, April 27, 2013
1:36:06 AM
An Ethiopian Airlines 787 Dreamliner takes off from Addis Ababa, the first commercial flight by the Boeing aircraft since all 787s were grounded in January.
An Ethiopian Airlines 787 Dreamliner takes off from Addis Ababa, the first commercial flight by the Boeing aircraft since all 787s were grounded in January.
'9/11 jet debris' found in New York Friday, April 26, 2013
11:37:00 PM
New York police say what they believe to be part of the landing gear of a plane flown into the World Trade Center on 9/11 has been found.
New York police say what they believe to be part of the landing gear of a plane flown into the World Trade Center on 9/11 has been found.
Armed drones operating from Britain Saturday, April 27,
2013 2:20:12 AM
Armed drone aircraft are operated remotely from Britain for the first time, the UK Ministry of Defence confirms.
Armed drone aircraft are operated remotely from Britain for the first time, the UK Ministry of Defence confirms.
Labels:
HABARI KWA UFUPI
Friday, 26 April 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)