Mwanamuziki aliyeitikisa vilivyo
Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na miziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa
ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo mbali mbali vya redio na Tv
kuhusiana na maisha mapya ya kidini.

Pamoja na hayo yote Size 8 amewakata mate wanaume wote wakware (wapenda
ngono) kuwa sasa hana tena nia ya kujiingiza katika mahusiano yoyote ya
kimapenzi na badala yake anatafuta MTU MMOJA atakaye kuwa mwanaume wake wa
maisha.
Inasemekana kuwa Size 8 alifanya maamuzi ya kuokoka baada ya
kufanya mapenzi na mwanaume ambaye
baadae alimdanganya kuwa ameathirika na HIV, lakini yeye hajaliongea ilo katika
interview zake.
No comments:
Post a Comment