Language

Tuesday, 30 April 2013

MWANAJESHI MWINGINE WA UFARANSA AUAWA MALI


Mwanajeshi mmoja wa Ufaransa nchini Mali ameuawa na wengine wawili kujeruhiwa vibaya, kwa mujibu wa maafisa wa Ufaransa, mwanajeshi huyo kutoka kikosi maalum cha Ufaransa aliuawa Magharibi mwa nchi baada ya gari lake kulipukiwa na bomu lililokuwa limetegwa kando ya barabara.

Hadi kufikia sasa wanajeshi sita wa Ufaransa wameuawa tangu Ufaransa kuanza operesheni yake dhidi ya wapiganaji wa kiisilamu waliokuwa wanadhibiti Kaskazini mwa nchi
Ufaransa ilitangaza kuanza kuondoa baadhi ya wanajeshi wake 4,000 walioko Mali.
Lakini wengine 1,000 watasalia nchini humo hadi mwakani kuweza kukabiliana na wapiganaji wa kiisilamu walio na uhusiano na kundi la Al-Qaeda Baadhi ya miji, imeweza kudhibitiwa na wanajeshi hao, lakini wapiganaji hao wangali kwenye maficho yao ya mwisho Kaskazini mwa Mali ambako wanafanya mashambulizi ya kuvizia dhidi ya wanajeshi wa Mali na Ufaransa.
Hivi maajuzi Umoja wa Mataifa uliafikia kunda kikosi cha wanajeshi 12,000 kushika doria nchini Mali.

MATOKEO YA MECHI KUBWA ZA APRILI 30


RIHANNA AMEOMBA RADHI NA KUDAI KUWA PICHA HII IMEINGIA KATIKA MITANDAO KIMAKOSA!


KAMA BADO HUJAYAPATA MATOKEO YA MECHI KUBWA ZA JANA APRILI 29 YAKO HAPA


Monday, 29 April 2013

KILICHOANDIKWA KATIKA GAZETI IJUMAA LEO, KUBWA NI KUHUSU KUFUMANIWA KWA PADRI NA MKE WA MTU


MUONEKANO MPYA WA KIWANJA CHA NDEGE KAGERA BAADA YA KUANZA KUFANYIWA UKARABATI



YAWEZAYO KUMFIKISHWA KILELENI MWANAMKE MGUMU KUFIKA


Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi  mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa "ovyo" hali itakayo  kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.
Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti  wetu kati ya mwanaume na mwanamke. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni "mzamiaji" basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja.
Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na ule wa kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu ambao ni wa kisimini. Sehemu pekee ambayo itakufanya wewe mwanamke ufike kileleni kwa haraka ni kwa kufanyiwa kazi kwenye kisimi chako. Kuna wanaume ambao ni "wajanja" na hawaoni tabu kutumia ndimi zao kuwaridhisha wapenzi wao, wengine hutumia vidole na wengi hutumia mboo zao(katerero).
Ndugu zangu! Lakini ngoja nikuambie, fanya yote lakini ulimi ni mwisho wa mambo ikiwa ulimi huo   utachezea kisimi katka mitindo ya a-z, mzunguuko, #8, pembe 2 pembe. Sio wajilambia kama "ice cream", anatakiwa kutumia ncha ya ulimi kulamba na midomo ya nje + ulimi kukinyonya kidude.

Saturday, 27 April 2013

JUSTIN BIEBER HANA MSIMAMO KWA WANAWAKE, KAMBWAGA JASMIN VILLEGAS NA KUMRUDIA SELENA GOMEZ

Baada ya tetesi na ushahidi mwingi niliowahi kukupatia kupitia hapahapa BONMUSIC BLOG kuhusu Justin Bieber kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Selena Gomez na kumuacha njia panda Jasmine Villegas ambaye ndiye mpenzi wake mpya, sasa Justine ametuma Hot picture katika Instagram, picha inayoashiria kila dalili ya mapenzi mazito kati yao.

Na kama picha ya  Justin Bieber na Selena Gomez haitoshi kuelezea kilichopo kati yao kwa sasa, maandishi yaliyo chini ya picha hiyo (caption) yameandikwa “umetengeneza muziki kwa muda mrefu mpenzi, njoo unikumbatie”…ni dhahiri kuwa maneno hayo yameandikwa na Selena Gomez. 

Jasmine Villegas
Pamoja na hilo, Beliebers na Seleantors wanazunguka pande mbali mbali za dunia pamoja wakisherehekea kwa kilichotokea  ni official confirmation kuwa wawili hao wako katika dimbwi la mapenzi tena.
 
Ni wazi kuwa Justin ameamua kuliweka penzi lake hadharani kwani wiki iliyopita pia nilikiujuza kupitia hapahapa na kukuonesha picha iliyowaonesha wawili hao wakikiss wakati Justin akiwa back stage.

Justin na Selena kupiga na kuweka picha nyingine za kimahaba? Katika picha hiyo Selena pia hakuwa na shirt kama Justin? Where are her hands positioned? Na nini kilifuata baada ya hiyo picha kupigwa?

SIZE 8 AILILIA BIKRA YAKE BAADA YA KUOKOKA


Mwanamuziki  aliyeitikisa vilivyo Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na miziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo mbali mbali vya redio na Tv kuhusiana na maisha mapya ya kidini.

Kati ya yote ambayo Size 8 amekuwa akiyaongelea, ni moja tu ambalo amekuwa akilitilia mkazo kwa kumaanisha kuwa linamsikitisha zaidi ni suala lake la kupoteza BIKRA, Size 8 amewaambia watu kuwa  "Najutia sana kupoteza bikra yangu. Ninaamini kuwa kijana anatakiwa kujilinda na kujizuia kufanya ngono katika ujana wake wote mpaka atakapo pata kibali toka kwa Mungu."
Pamoja na hayo yote Size 8 amewakata mate wanaume wote wakware (wapenda ngono) kuwa sasa hana tena nia ya kujiingiza katika mahusiano yoyote ya kimapenzi na badala yake anatafuta MTU MMOJA atakaye kuwa mwanaume wake wa maisha.
Inasemekana kuwa Size 8 alifanya maamuzi ya kuokoka baada ya kufanya  mapenzi na mwanaume ambaye baadae alimdanganya kuwa ameathirika na HIV, lakini yeye hajaliongea ilo katika interview zake.

DOWNLOAD WILL.I.AM feat.BRITNEY SPEARS VS DAVID SMESH - ONE MILLION SCREAM & SHOUT (BSHARRY MASHUP)

HABARI KUBWA TOKA BBC LEO APRILI 27


Arrests over Dhaka building collapse Saturday, April 27, 2013 1:28:51 AM
Two owners of garment factories in the building that collapsed in Bangladesh are arrested, as 24 more people are rescued from the rubble.
American faces trial in North Korea Saturday, April 27, 2013 1:37:48 AM
North Korea is to issue a verdict soon on a US citizen on charges including attempting to overthrow the government, the official news agency says.
Boeing Dreamliner takes off again Saturday, April 27, 2013 1:36:06 AM
An Ethiopian Airlines 787 Dreamliner takes off from Addis Ababa, the first commercial flight by the Boeing aircraft since all 787s were grounded in January.
'9/11 jet debris' found in New York Friday, April 26, 2013 11:37:00 PM
New York police say what they believe to be part of the landing gear of a plane flown into the World Trade Center on 9/11 has been found.
Armed drones operating from Britain Saturday, April 27, 2013 2:20:12 AM
Armed drone aircraft are operated remotely from Britain for the first time, the UK Ministry of Defence confirms.

KATE MIDDLETON


MECHI KUBWA ZA LEO APRILI 27 ENGLAND, ITALY NA SPAIN


HABARI ZILIZOTOKEA ZAIDI KATIKA MAGAZETI YA MICHEZO NA UDAKU LEO



PICHA MBALI MBAI ZA NDEGE ZA KIVITA ZIONAZOMILIKIWA NA JESHI LA TANZANIA KATIKA SIKU YA MUUNGANO WA TANZANIA
















Friday, 26 April 2013

MATOKEO YA MECHI KUBWA ZA APRILI 26


KOCHA WA YANGA KWENDA AMAVUMBI YA RWANDA?


KOCHA Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts ni kati ya makocha wanaopewa nafasi ya kuwania nafasi ya kuifundisha timu ya taifa ya Rwanda ‘Amavubi’.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Shirikisho la Soka la Rwanda (Ferwafa) zimeeleza, Brandts ni kati ya wanaopewa nafasi ikiwa ni siku chache baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu Sredojevich Milutin ‘Micho’ kufukuzwa kazi.
Micho raia wa Serbia aliyewahi kuwa kocha wa Yanga alitupiwa virago baada ya timu hiyo kufanya vibaya kwa miezi minne mfululizo.
Brandts raia wa Uholanzi, amekuwa akipewa nafasi hiyo baada ya kamati ya ufundi ya Ferwafa kutoa pendekezo kutokana na mafanikio aliyoyapata wakati akiwa nchini Rwanda akiinoa APR.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...