Language

Friday, 5 April 2013

CHADEMA KUMPIGANIA LWAKATARE



Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kwa gharama yoyote kipo tayari kumtetea Mkurugenzi wake wa Ulinzi na Usalama, Wilfred Lwakatare dhidi ya kesi ya ugaidi inayomkabili.

Lwakatare na mwenzake, Joseph Rwezaura, wanakabiliwa na kesi ya ugaidi katika Mahakama ya Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne ya kula njama na kufanya mipango ya kumteka, kisha kumdhuru kwa sumu, Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mwananchi, Dennis Msacky.
Majalada hayo namba 37 na namba 6 yote ya mwaka 2013, yalishawasilishwa Mahakama Kuu, kwa awamu mbili. Jalada la kwanza, namba 37 liliwasilishwa Mahakama Kuu, Jumatatu na jalada la pili namba 6 liliwasilishwa Jumanne wiki hii iliyopita.
Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chadema, Tundu Lissu alisema kuna wanaohoji nguvu ya kisheria wanayoitumia kuweka jopo la mawakili watano kumtetea Lwakatare, akisisitiza kuwa wapo tayari kuhakikisha sheria inatumika ipasavyo kubainisha ukweli wa tuhuma hizo.
Lissu aliyasema hayo jana alipokuwa akieleza msimamo wa baadhi ya mambo yaliyojadiliwa na Kamati Kuu kwenye kikao chake kilichofanyika Dar es Salaam.

MGAMBO MBARONI KWA MAUAJI YA MWENDESHA BAJAJI



Mgambo wa jijini Dar es Salaam (jina linahifadhiwa), anashikiliwa polisi kwa tuhuma za kuhusika katika njama za mauaji ya mwendesha Bajaji Yohana Syprian aliyeuawa jana Kawe jijini Dar es Salaam.

Mgambo huyo ambaye alitambuliwa kuwa ni mlinzi wa maduka ya Bakhresa, inasemekana kutumiwa kama njia ya kumtafuta dereva wa bajaji aliyetuhumiwa kuiba simu hiyo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyera alisema mgambo huyo atahojiwa na kutumika ili kuwapata wahalifu hao.
“Inasemekana marehemu alikuwa ni mpitanjia tu wakati vurugu zinaendelea katika kijiwe hicho, wakaamua kumshambulia yeye mpaka mauti yalipomkuta na baadaye wakamtupa kwenye Mto Mbezi,” alisema Kamanda Kenyera.
Kenyera alisema polisi wanafanya uchunguzi kuhakikisha wanajeshi hao wanaodaiwa kuhusika wanakatwa na kufikishwa mahakamani.
‘‘Huyu mgambo atatusaidia kuwapata kwa urahisi,” alisema na kuongeza: “Si hivyo tu, pia tunawashikilia vijana wengine 12 waliokuwa wanafanya vurugu za kutaka kuchoma moto Kituo cha Polisi.”

UMOJA WA MATAIFA WAIONYA KOREA YA KASKAZINI



Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki moon ameitaka Korea ya kaskazini kupunguza makali yake kwa mzozo unaotokkota wa kinuklia akisema kuwa umeanza kuvuka mpaka.

Bwana Ban amesema kuwa anahuzunishwa na namna ugomvi huo unavyotishia maisha ya wananchi wa kawaida.
Akizungumzia vitisho vya karibuni sana vya Korea Kaskazini kwa Korea Kusini na Marekani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon alisema kuwa hali hiyo imekuwa ya kustajabisha na kusikitisha.
Alisema kuwa Korea Kaskazini imezidisha vitisho vyake na akaonya kuwa cho chote kinaweza kuzusha kitendo cha kusikitisha.
Bwana Ban aliyekuwa wakati mmoja Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Mataifa, alitoa wito kwa viongozi wa Korea kaskazini kubadili mwenendo wao.

Thursday, 4 April 2013

JUSTIN BIEBER: TORTURED BY SELENA GOMEZ



A source close to Justin Bieber has confirmed what we've suspected for months:
The singer's recent troubles - from pot smoking to hanging out with Lil Twist to spitting on his neighbor - can all be traced to his split from Selena Gomez in late 2012.
 
Bieber was "torn apart" by the break-up, an insider tells TMZ, and he hasn't been able to sufficiently recover because Gomez continues to call and text.
The mixed messages have left Justin "tortured," according to this same mole.
Just last week, Bieber stopped by Selena's house on his way out of the country, likely to either mend fences or urge his ex to make up her mind in one direction or the other.
It was a smart move because Bieber has clearly been expressing his anger and bitterness over the split in healthy, inappropriate, often illegal ways.


ANGALIA HII, HAPA AJALI NJE-NJE


BODABODA ZA TOWN NOMAAAAAA


HABARI KUBWA ZA LEO APRILI 4 KWA UFUPI



N Korea 'moves mid-range missile' Thursday, April 04, 2013 4:59:49 AM
South Korea's foreign minister says the North has moved a mid-range missile to its east coast, but says it is not aimed at the US mainland.
German economy 'near stagnation' Thursday, April 04, 2013 2:28:52 AM
Germany's economy slowed to "near stagnation" last month, while France's recorded its biggest contraction for four years, a survey says.
Armstrong set for return as swimmer Wednesday, April 03, 2013 11:59:50 PM
Disgraced cyclist Lance Armstrong is scheduled to compete in three events at the US Masters swimming championships this weekend.

MAMBO YA KHANGA MOJA KATIKA SHOO YA DIAMOND BUKOBA



HIZI NI BAADHI YA PICHA CHAFU ZILIZOPIGWA NA NYOTA WA VIDIO YA JAMBO JAMBO YA STEVE RnB


KILICHOANDIKWA NA JUMUIA YA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU ZANZIBAR NI HIKI


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...