BURUDANI: HII NDIO PAGE YA FACEBOOK INAYOMDIS DIVA LOVENESS LOVE WA CLOUDS FM ARA ZA ROHO KATIKA PICHA
Hizi nibaadhi ya picha zinazoionesha page ya facebook iitwayo 'Tunakuchukia Diva Wa Clouds Fm' maalumu kwa kumdis mwanadada machachari wa sauti ya mahaba Loveness Love wa Clouds Tv na Clouds Fm.
Angalia picha hizi na utaweza kusoma pia kile kinachoandikwa katika page hiyo...
No comments:
Post a Comment