Jose Luis Chilavert, kipa wa zamani wa Paraguay ndiye kipa bora katika historia kwa kufunga magoli mengi zaidi ya makipa wote duniani, anajumla ya magoli 62.Kwa sasa amestaafu soka na anatarajia kugombea urais wa nchi ya Paraguay katika miaka michache ijayo.
No comments:
Post a Comment