Language

Monday, 21 January 2013

MICHEZO: LUKAKU: "SIRUDI TENA CHELSEA"

ROMELU LUKAKU ametangaza rasmi kuwa hana nia ya kurejea tena katika klabu yake ya Chelsea ikiwa atakuwa miongoni mwa wachezaji wake wa ziada.
Lukaka amesema yuko tayari kuendelea kuichezea West Brom kwa mkopo msimu ujao.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 aliifungia West Brom bao lake la pekee na kuipa timu yake ushindi wake wa kwanza msimu huu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...