Language

Thursday 7 March 2013

HABARI ZA UCHAGUZI MKUU KENYA: ZOEZI LA KUHESABU KURA BADO LINAENDELEA KENYA, WANANCHI WATAKIWA KUSUBIRI


HABARI KWA UFUPI: HABARI MPYA KUBWA ZA MACHI 8 KWA UFUPI


N Korea ends peace pacts with South Friday, March 08, 2013 08:01:30 AM
North Korea says it is scrapping all non-aggression pacts with South Korea, closing its hotline and their shared border point, hours after new UN sanctions passed.
US arrests Bin Laden 'spokesman' Friday, March 08, 2013 04:31:58 AM
A man described as a spokesman for Osama Bin Laden has been arrested in Jordan and will appear in a New York court on Friday, the US confirms.
Antarctic lake yields 'new life' Friday, March 08, 2013 12:51:45 AM
Russian scientists say they have found a new type of bacterial life form in water from a buried Antarctic lake.
Hugo Chavez body to stay on display Friday, March 08, 2013 01:44:48 AM
The body of the late Venezuelan leader Hugo Chavez will be put on display after his funeral, the government says.
Lion 'escaped cage' to kill woman Friday, March 08, 2013 05:39:30 AM
A California coroner says a lion who killed a volunteer intern at a big cat park used its paw to lift a partially closed door and escape a small cage.
Senate confirms Brennan as CIA head Friday, March 08, 2013 12:36:31 AM
The US Senate confirms President Barack Obama's nomination of John Brennan as the new CIA director after a senator's 13-hour speech delayed a vote.
Tunisia poised to unveil government Friday, March 08, 2013 02:31:59 AM
Tunisian Prime Minister-designate Ali Larayedh says the line-up of a new government has been agreed and will be presented to the president on Friday.
Kenya software bug hampered vote Thursday, March 07, 2013 09:18:34 PM
Kenya's electoral commission says a computer bug is to blame for a large number of rejected votes in the presidential election, which has led to disputes and fraud claims.
Last cardinal arrives for conclave Thursday, March 07, 2013 11:51:30 PM
The last of the 115 Roman Catholic cardinals who will choose a new Pope arrives at the Vatican, meaning the date for the conclave can now be set.
Report details Boeing battery fire Friday, March 08, 2013 07:29:11 AM
A detailed description of a battery fire on board a Boeing 787 Dreamliner is released by a US regulator, but no cause is specified.


MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZA JANA MACHI 7 NDIO HAYA


BURUDANI: SCANDAL: RIHANNA AMERELEASE FILAMU YAKE YA NGONO!!!

Nimepata picha 10 za scenes tofauti zilizopo katika movie hiyo, zote ziko hapa...


HABARI MUHIMU: VIGOGO WAWILI WA TBS 'OUT'

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), imewavua madaraka wakurugenzi wawili.

Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Profesa Cuthbert Mhilu alisema jana kuwa waliovuliwa madaraka ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora, Dominic Mwakangale na aliyekuwa Mkurugenzi wa Upimaji na Huduma za Vifungashio, Kezia Mbwambo.

HABARI MUHIMU: MWAKYEMBE KAKUTA UTUMBO MWINGINE BANDARINI

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe amekutana na malalamiko mazito  kutoka kwa Chama cha Wakala wa Forodha (TAFFA) ambao wamedai kuna wamiliki wa meli ambao pia wanafanya kazi ya kuingiza na kutoa mizigo bandarini jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

Kwa mujibu wa sheria za Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) ni marufuku kampuni ya wakala wa meli kuwa na leseni ya kuingiza na kupakuwa mizigo bandarini.

BURUDANI:JUSTIN BIEBER NAYE FREEMASON?


BURUDANI: FALL-JUSTIN BIEBER LYRICS


"Fall"
Whoa, ooh
Well, let me tell you a story
About a girl and a boy
He fell in love with his best friend
When she's around, he feels nothing but joy
But she was already broken, and it made her blind
But she could never believe that love would ever treat her right

HABARI MUHIMU: ZIMBABWE ITAJISIMAMIA YENYEWE KATIKA UCHAGUZI


Serikali ya Zimbabwe haitaruhusu wasimamizi wa nchi za Magharibi kuja kusimia kura ya maoni ya katiba mpya wiki ijayo na uchaguzi mkuu utakaofanyika katikati ya mwaka huu.
Serikali ya Rais Robert Mugabe imesemakuwa haitaruhusu wasimamizi kutoka mataifa ya Magharibi kuja nchini Zimbabwe kusimia zoezi la utoaji maoni kuhusu katiba mpya ya nchi hiyo wiki ijayo. Sambamba na hayo pia iserikali hiyo imedai hakutakuwa na haja ya kuja wasimamizi hao katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika katikati ya mwaka huu.

MITINDO: MITINDO YA SUTI ZA KIZAZI KIPYA


MICHEZO: RATIBA YA MECHI KUBWA ZA LEO MACHI 7


HABARI ZA UCHAGUZI MKUU KENYA: RAILA ODINGA ADAI KUHUJUMIWA

Mgombea mwenza wa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga, amesema kuwa kuna ushahidi kuonyesha kuwa kuna hujuma dhidi yao katika dhughuli ya kuhesabu kura inayoendelea katika ukumbi wa Bomas, na kwamba shughuli hiyo inastahili kusitishwa.

HABARI MUHIMU: HUGO CHAVES KUZIKWA IJUMAA, MAOMBOLEZO YANAENDELEA VENEZUELA

Mwili wa mareheu rais Hugo Chavez wa Venezuela, umelazwa katika kituo cha mafunzo ya jeshi katika mji mkuu Caracas

HABARI MUHIMU: HIZI NDIO HABARI KUBWA DUNIANI LEO KWA UFUPI


Kenya election votes 'doctored' Thursday, March 07, 2013 01:45:40 PM
The ballot count in Kenya's presidential election is being "doctored", according to Kalonzo Musyoka, the running mate of Prime Minister Raila Odinga.
Berlusconi convicted over wiretap Thursday, March 07, 2013 02:29:25 PM
Italy's former Prime Minister Silvio Berlusconi is convicted and sentenced to a year in jail over an illegal wiretap.
Processed meat 'early death' link Thursday, March 07, 2013 12:22:32 PM
Sausages, ham, bacon and other processed meats appear to increase the risk of dying young, a study of half a million people across Europe suggests.
N Korea ramps up nuclear rhetoric Thursday, March 07, 2013 01:18:28 PM
North Korea vows to exercise its "right to launch a pre-emptive nuclear strike" against the US, as the UN prepares to vote on fresh sanctions.
Bolshoi acid attack 'was a mistake' Thursday, March 07, 2013 12:40:47 PM
A Bolshoi soloist accused over an attack on the ballet's artistic director tells a court he did not mean for acid to be used, but discussed beating him up.


HABARI PICHA: ALIYEKUWA RAIS WA VENEZUELA HUGO CHAVEZ BAADA YA KIFO


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...