Language

Tuesday 5 February 2013

HABARI MUHIMU: MKE WA OFISA WA BENKI AUAWA KIKATILI DAR

WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wame muua kinyama mke wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki M. Meera Sanjeev Kumar kwa kumfunga plasta mdomoni wakiwa katika harakati za kufanya uhalifu nyumbani kwa ofisa huyo.

Taarifa za mauaji hayo zilitolewa polisi na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono ambaye aliwaambia waandishi wa habari kuwa alifika Kituo Kikuu cha Polisi Oysterbay kutoa taarifa za mauaji hayo.
Akizungumza jana Kama nda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela

UNAJUA KUWA RONALDO, NEYMAR, TEVES BOBBY BROWN WALIZALIWA SIKU MOJA? NI FEBRUARI 5

Neymar

MICHEZO: MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA JANA NDIO HAYA


BURUDANI: KAMA HUKUZIONA PICHA ZA HARUSI YA KITALE...BAADHI ZIKO HAPA



BURUDANI: JENNIFER KYAKA 'ODAMA' AMBWAGA MUSA BANZI


Odama mwigizaji wa filamu Swahiliwood.KILA jambo lina uzuri wake na kwa wasiolewa wanaweza kuleta tafsiri tofauti na wahusika au mhusika, mwaka huu mwanadada Jennifer Kyaka ‘Odama’ anayefanya vema katika tasnia ya filamu Swahiliwood katika kuimalisha kampuni yake na kujiongezea kipato, kampuni yake ya J- Film 4 Life, alitengeneza kalenda iliyosheheni picha za wasanii wa filamu, maneno yakazuka.



Filamu ya Unbroken Promise aliyoigiza Mussa Banzi na Odama.Baadhi ya wasanii walioigiza na Odama akiwa katika kundi la White Elephant linaloongozwa na Mussa Banzi ambalo ndilo hasa lilomtoa Odama lakini wameshangaa kwa mwanadada huyo ametengeneza kalenda iliyoweka picha za wasanii wote lakini hakuweka picha ya Bosi wake wa zamani Mussa Banzi pengine wenye wanahisi bila Mussa Banzi Odama asingekuwepo katika tasnia ya filamu.
Baada ya kusikia minong,ono hiyo FC ilifuatilia suala hili kwa undani na kubaini kweli kutokuwepo kwa picha ya Mussa Banzi katika picha zilizoremba kalenda hiyo ikiwa ni mmoja kati ya watu wenye mchango mkubwa kwa msanii huyo kufanikiwa katika tasnia ya filamu Bongo, FC iliongea na Odama.
.

HABARI MUHIMU: SASA NDOA ZA JINSIA MOJA RUKSA UINGEREZA

Jonathan Blake

Baada ya kusubiriwa kwa muda sasa, wanasiasa wa Uingereza wameupigia kura ya ndio muswada wa sheria ya ndoa za jinsia moja, ambapo katika bunge la nchi hiyo "House of Commons" wabunge 400 wameridhia, ilhali wabunge 175 wamepiga kura ya hapana.

Katika taarifa ambayo GK imefuatilia kupitia vyombo vya  habari vya kimataifa na kupitia maoni ya wakazi wa jiji la London, imeonekana kuwa wananchi wako katika pande mbili, baadhi wakionyesha kukerwa na hatua hiyo, wakati wengioneo wakionekana kutokuwa na shida kabisa.
Kwa ufupi ni kwamba kupitishwa kwake kutapelekea kurahisisha pia kwa watu wa jinsia mmoja kuasili watoto na kuwalea kama wazazi wa asili, jambo ambalo linatatajwa kuja kuwaathiri watoto hao baadae.

BURUDANI: P SQUARE-ALINGO LYRICS




P-square we back again
Ey ey ey ey, ay ay ay papi

[Hook]
She's makin' me bark like a bingo
& I come dey try 2 dey sing eh
& d way dat she's dancin'
I don dey, I don dey, I don dey
She's makin me bark like a bingo

HABARI MUHIMU: MWANAMKE AFUNGWA JELA MWAKA MMOJA KWA KUDANGANYA KUBAKWA SOMALIA

Mahakama nchini Somalia imemhukumu mwaka 1 jela mwanamke mmoja kwa kudanganya alibakwa na kundi na wanajeshi wa Somalia.

Mwanahabari aliyemhoji mwanamke huyo, pia alifungwa jela mwaka mmoja kwa kumsaidia kubuni taarifa hiyo ya kusingizia jeshi.
Wawili hao walifungwa jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuitusi serikali ya Somalia.
Watetezi wa haki za binadamu walilaani vikali hatua kuwakamata wawili hao na kuwafungulia mashtaka.
Siku ya Jumatatu, kampeini inayopinga dhulma dhidi ya wanawake, ilizinduliwa na mwanamke ambaye ni mashuhuri sana katika kutetea haki za wanawake , Asha Haji Elmi, ambaye pia ni mbunge na mke wa waziri mkuu, Abdi Farah Shirdon Saaid.
Majaji waliotoa uamuzi wa

HABARI PICHA: MAHAFALI YA AINA HII NOMA KWELI


MITINDO: CHEKI HII LEO


MICHEZO: SOCCER UPDATES


HABARI: HII NDIO MBINU MPYA YA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA

WAKATI nchini Zimbabwe wanawake wakitumia pampers kukuza ukubwa wa makalio yao, nchini Marekani wamekuwa wakitengeneza pampers za cocaine, ambazo huvaliwa  na kusafirisha dawa hizo nchi mbalimbali pasipo kugundulika.
Mbinu hiyo mpya imedaiwa kuwagharimu muda mrefu waandaaji kutengeneza pampers hizo na baada ya kukamilika huvaliwa kitaalamu nje ya nguo zao za ndani na huvalia suruali au baibui tayari kwa kuanza safari.
Maofisa wa forodha kwenye Uwanja wa Ndege wa JFK wamegundua mbinu hiyo mpya mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuwatia mbaroni wanawake wawili kutoka Bronx wakiwa wamevalia
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...