Language

Saturday 30 March 2013

SIR ALEX FERGUSON SALUTES SPIRIT IN MANCHESTER UNITED'S WIN OVER SUNDERLAND


Sir Alex Ferguson was delighted to see Manchester United battle their way to three points at Sunderland and edge a step closer to the Premier League title.
United required a helping hand en route to claiming a seventh straight success in the league, and an 18-point lead at the summit, with a Titus Bramble own goal seeing them to a narrow 1-0 win at the Stadium of Light.
Sunderland, who are scrapping for their lives towards the foot of the table, made life difficult for the Red Devils during a spirited second-half display and Ferguson admits his side had to dig deep to get over the line.
"I think the players have galvanised themselves - the team spirit, the concentration, the focus in every game."
Sir Alex Ferguson
He told Sky Sports: "It was a battling performance by the players. We picked up two or three injuries along the way and it was courage that got us through in the second half. It means we will go into the Man City game with at least a 15-point lead.
"The first half we did well, second half we give credit to Sunderland because they gave it a real go. I thought we had lost David de Gea for a moment, he was out for a few minutes, but he got up and has played a really great part for us.

LEGENDARY MUSIC PRODUCER PHIL RAMONE DIES AT 79


A former violin prodigy and expert engineer, he worked with Dylan, Sinatra, McCartney, Bennett, Charles, Streisand, Simon, Joel and Bacharach and spent more than 50 years in the business.

MOST SHARED STORY ABOUT NICKI MINAJ THIS WEEK


American Idol judge Nicki Minaj is declaring a Twitter war on ousted contestant Devin Velez for his less than gracious remarks following his ouster from the Fox reality show. In particular, she warned against complaining that the judges didn't use their "save" to spare him from getting the axe.

WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA JENGO LILILOPOROMOKA DAR ES SALAAM WAMEFIKA 18


Idadi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya jengo lililoporomoka Dar Es Salaam jana asubuhi inazidi kuongezeka na sasa takriban watu 18 wamethibitishwa kufariki. 

MAKANISA YAVAMIWA KILIMANJARO NA KUNDI LA WATU LISILO JULIKANA


Makanisa matatu mkoani Kilimanjaro yamevamiwa na watu wasiojulikana kasha kuvunjwa milango, kuharibiwa mali mbalimbali zikiwemo kompyuta na samani za kanisa na kuiba fedha.

Tukio hilo limetokea katika jimbo la Kilimanjaro Mashariki, Dayosisi ya Kaskazini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mkuu wa jimbo hilo, Mchungaji Winford Mosha, alisema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana.
Mosha aliyataja makanisa yaliyovunjwa kuwa ni usharika wa Kimbowo, Mseroe na Mrienyi na kwamba watu hao walivunja kwa lengo la kutafuta fedha.
Mchungaji Mosha, alisema katika usharika wa Mseroe watu hao waliiba shilingi laki mbili na katika sharika nyingine waliharibu mali za kanisa na kuondoka baada ya kukosa vitu vya kuiba.
Hata hivyo, Mosha alisema tukio hilo ni mfululizo wa matukio ya wizi yaliyotokea mwanzoni mwa mwezi huu katika jimbo hilo ambapo makanisa mengine matatu yalivunjwa na mali zake kuharibiwa vibaya.

UNAIKUMBUKA EXCUSE ME MISS YA JAY Z NA PHARRELL WILLIAMS? LYRICS ZAKE HIZI HAPA

"Excuse Me Miss"
(feat. Pharrell Williams (Neptunes))
[Intro: Jay-Z]
You can't roll a blunt to this one
You gotta, you gotta well, ya gotta light a J
You gotta puff a J on this one {*inhales*}
You can't even drink Crist-ALL on this one
You gotta drink Crist-ALL

NYOTA WA RnB TANZANIA BEN POL


HII NDIO RATIBA YA MECHI KUBWA ZA LEO MARCH 30


HABARI KUBWA ZA LEO DUNIANI


N Korea in 'state of war' with South Saturday, March 30, 2013 3:12:47 AM
North Korea says it is entering a "state of war" with South Korea, in the latest escalation of rhetoric against its neighbour and the US.
Kenya awaits key election ruling Saturday, March 30, 2013 1:51:59 AM
Kenya's Supreme Court is set to announce whether it will uphold the election of Uhuru Kenyatta as president, after a challenge from rival Raila Odinga.
Hopes fade for Tibet buried miners Saturday, March 30, 2013 2:59:09 AM
The chances of finding survivors following a landslide in Tibet that buried 83 miners are slim, Chinese media report.

HALI YA NELSON MANDELA INAENDELEA KUIMARIKA


Maafisa wa utawala nchini Afrika Kusini wanasema kuwa rais mstaafu Nelson Mandela anaendelea vyema na matibabu baada ya kulazwa hospitalini kwa siku ya pili akiwa na maradhi ya kifua.


Taarifa kutoka rais wa nchi hiyo Jacob Zuma ilisema kuwa hali ya Mandela inaendelea kuimarika na kwamba hata aliweza kula vyema kiamsha kinywa chake.
Mapema leo Jacob Zuma, aliwahakikishia wananchi wa Afrika Kusini kuwa rais mstaafu Nelson Mandela anatibiwa ugonjwa wa mapafu ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara.
Katika mahojiano na BBC , bwana Zuma alisema kuwa watu hawapaswi kuwa na wasiwasi kwani Mandela anaendelea kupokea matibabu.
Mandela mwenye umri wa miaka 94 alilazwa hospitalini kabla ya Jumatano usiku.
Alikuwa hospitalini kwa siku 18 mnamo mwezi Disemba, akipokea matibabu ya mapafu na kibofu.
Katika taarifa yake iliyotolewa mapema, Zuma alisema kuwa Mandela anaendelea kupokea matibabu.

PROFESA JAY HASHANGAI MAFANIKIO YAKE

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule, a.k.a Profesa Jay, amesema hajashangaa kujikuta katika orodha ya mwanzoni kabisa ya wanamuziki wa heshima waliotajwa kushiriki tamasha lililoandaliwa na mwanamuziki nguli kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone.

Jay ambaye kwa mujibu wa Chameleone mwenyewe, ataambatana na mwanamuziki mwingine aliyewahi kuwika na miondoko ya Takeu, Lucas Mkenda, au Mr Nice, amesema heshima kama hizi haziji hivi hivi ila zinatokana na kuhangaika kwake na muziki huu wa kizazi kipya na kuhakikisha kwa kila njia unafika katika hatua nyingine.
Katika mahojiano yake maalumu aliyofanya na Mwananchi, Jay amesema ukiachana na suala la muziki, yeye ni kama kaka wa wanamuziki kwa sasa.
Jay ambaye kwa sasa anasikika katika vituo vingi vya redio kupitia nyimbo zake nyingi ukiwamo ule alioshirikishwa na Lady Jaydee wa Joto na Hasira, anatajwa kuwa mwanamuziki aliyetia ushawishi wa hali ya juu kwa wasanii wachanga kuanza muziki hapa nchini.
Onyesho hilo linatarajia pia kukusanya na wanamuziki kutoka Kenya, litafanyika katika siku tatu mfululizo ambapo siku ya kwanza, itakuwa ni tarehe 26 Aprili, katika viwanja vya mchezo wa rugby vya Kyandondo jijini Kampala, kisha Colline Hotel siku itakayofuata katika Mkoa wa Mukono na litafunwa Entebe tarehe 28 katika fukwe za rResort Beach.

KIM JONG-UN AWEKA TAYARI MAKOMBORA YAKE



China na Urusi zimeelezea hofu ya kukithiri kwa mzozo katika rasi ya Korea na kutaka pande zote kujiondoa katika majibizano.

Hii inafuatia hatua ya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kuweka tayari makombora ya masafa marefu kukabiliana na tishio la mashambulio kutoka kambi za kijeshi za marekani na ndege zake za kivita.
Waziri wa masuala ya nchi za kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amekashifu kile alichokitaja kama kuvuka mipaka kwa Korea Kaskazini.
Agizo la rais Kim Jong-un limetokana mazungumzo kujibu hatua ya ndege za kivita za marekani kuruka katika anga ya rasi ya Korea.
Alinukuliwa akisema kuwa muda umewadia wa kumaliza mgogoro na Marekani.
Korea Kaskazini imeghadhabishwa na hatua ya Umoja wa Matifa kuiwekea vikwazo vipya.

LISTEN AND DOWNLOAD NEW SONG BY TARIQMUSIC-MY LIVING BODY FT. JADED

HAPA NDIPO JENGO LA GHOROFA 16 LILIPO POROMOKEA


HIVI NDIYO HALI ILIVYO BAADA YA JENGO KUANGUKA DAR ES SALAAM, 3 WAFARIKI NA 40 WAHOFIWA KUFUKIWA


Takriban watu watatu wamethibitishwa kufariki baada ya jengo lenye ghorofa zaidi ya kumi kuporomoka mjini Dar es Salaam, Tanzania.

Waokozi wanaendelea na shughuli ya kuwatafuta na kuwaokoa manusura na wanasema kuwa hadi sasa watu kumi na watatu waliokuwa wamenaswa wameokolewa.
Zaidi ya wengine arobaini wangali wamenaswa chini ya vifusi.
Shughuli ya ujenzi ilikuwa inaendelea kwenye jengo hilo wakati lilipoporomoka katikati mwa mji wa Dar es Salaam.
Miongoni mwa watu ambao wangali kupatikana ni wafanyakazi wa mjengo na watoto kutoka shule jirani ya mafunzo ya dini ya kiisilamu.
Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo, watu walisikika wakipiga mayowe kutaka msaada.
"nilidhani lilikuwa tetemeko la ardhi, na kisha nikasikia mayowe,'' alisema shahidi mmoja.
Jengo hilo liko katikati mwa Dar es Salaam na liliporomoka saa tatu kasorobo asubuhi kwa saa za Afrika mashariki.
Mamia ya watu wanaaminika kuwa ndani ya jengo hilo huku wengine wakiwa nje wakati wa ajali hiyo . Hata hivyo idadi kamili ya watu hao bado haujulikani.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...