UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini
Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa
mawazo.
Pia, watafiti hao wamesema wanawake wanaofanya tendo la ndoa mara kwa
mara bila kutumia kinga (mapenzi salama) wanakuwa na kiwango kidogo cha msongo
wa mawazo na hufanya vizuri katika vipimo vya akili.
Hali hii wamesema wataalam hao
kuwa inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri
kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na huwa na
angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo (anti-depressants).
Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293 kwa kufuatilia maisha
yao ya kujamiana dhidi ya afya za akili zao. Manii huwa na mchanganyiko wa
kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza upendo, kemikali aina ya esterone na
oxytocin ambazo zote humfanya mtu kuwa vizuri kihisia.
Pia, huwa na homoni aina za ‘thyrotropin releasing hormone’, ambayo
huondoa msongo wa mawazo, melatonin ambayo huchochea usingizi na serotonin
ambayo ni homoni inayoondoa msongo wa mawazo.
Kutokana kuwapo kwa mchanganyiko wa kemikali na homoni hizo kwenye
manii
Matokeo ya utafiti
Matokeo muhimu ya utafiti huu ambao umechapishwa katika jarida la
‘Archives of Sexual Behaviour’ ni kwamba hata baada ya baadhi ya watafitiwa
kuongeza kiwango chao cha kujamiana, wale ambao walikuwa hawatumii kinga yoyote
walikuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo tofauti na wale ambao walikuwa
wakitumia kinga kama kondomu wakati wa kujamiana.
No comments:
Post a Comment