sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii
katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa Tz wew ni mmoja wapo.. napenda sana
vibonzo vyako hasa kile cha " nani amenuna nani amenuna eti nani
amenuna" najua utakua umemalizia WEMA... katika kila shoo zako
unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim sana mama yako mzazi kutokana
na malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza MITUMBA.. lakini saiz unafanya
mama wa watu aonekane alizaa toto zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na kuumiza
wanaume wenzie.. ivi unajua mke anauma kias gani hata kama wanajileta we ni mtu
mzima ambaye unatakiwa kupembua mambo.... hasa kuhusu jambo la HILI MBURULA
LENZIO UWOZO or SORRY I mean UWOYA.. unajua kabisa kaka yetu NDIKU ambaye
anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina NSAJIGWA, FUSO uwanjani ili apate
chochte cha kulisha family yake lakini wew bila huruma una ramba asali yake... ivi
unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda shule wenzie
watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa DOMO huyo' ivi dear diamond
mbna unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew hujui ka unamfanya awe
despsd infrnt of da pple...
najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya kusambaza.. hawa wanawake wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie MAANA ya dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha wap.. na wew mama diamond ivi huoni anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje kumwambia akishaanza kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje Ambaye hatumiii fb asome mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS naamini itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa matumizi sahihi ya ARV's

wako shabiki namba MOJA DUNIA NZIMA....... via mbele kuchungu
No comments:
Post a Comment