Vichwa Vya Habari
Language
Tuesday, 19 March 2013
MICHEZO: TIMU TATU ZIMESHUSHWA DARAJA
Labels:
MICHEZO
HABARI MUHIMU: HII NDIO HATMA YA SOKO LA SILAHA DUNIANI
Wawakilishi kutoka mataifa 150 wanakutana leo mjini New York Marekani,
katika shinikizo la mwisho la kuunda mkataba wa kimataifa, unoalenga kukomesha
uuzaji wa silaha kiholela, lakini Marekani inashinikizwa kuukataa.
Labels:
HABARI MUHIMU
HABARI KWA UFUPI: HIZI NDIO HABARI KUBWA DUNIANI LEO
Pope appears for inauguration Mass Tuesday, March 19, 2013
11:02:36 AM
Pope Francis appears in St Peter's Square in Rome for the inauguration Mass that marks the official start of his papacy.
Pope Francis appears in St Peter's Square in Rome for the inauguration Mass that marks the official start of his papacy.
Baghdad hit by deadly car bombs Tuesday, March 19, 2013
11:22:32 AM
At least 21 people die and many more are injured, after a series of car bombs in Shia areas of Baghdad on the 10th anniversary of the US-led campaign in Iraq.
At least 21 people die and many more are injured, after a series of car bombs in Shia areas of Baghdad on the 10th anniversary of the US-led campaign in Iraq.
Power failure hits Fukushima plant Tuesday, March 19, 2013
7:45:45 AM
A power failure at Japan's tsunami-hit Fukushima nuclear plant affects cooling systems for spent fuel, but officials say there is no immediate danger.
A power failure at Japan's tsunami-hit Fukushima nuclear plant affects cooling systems for spent fuel, but officials say there is no immediate danger.
Labels:
HABARI KWA UFUPI
HABARI MUHIMU: NTAGANDA ANASHIKILIWA NA WAMAREKANI
Hatimae Marekani imethibitisha kuwa Muasi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo, Jenerali Bosco Ntaganda, amejisalimisha katika ubalozi wake mjini
Kigali, Rwanda.
Taarifa hiyo ya Marekani inasema kuwa Ntaganda ameomba ahamishwe hadi
katika Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa ICC huko the Hague.
Labels:
HABARI MUHIMU
HABARI MUHIMU: FBI WAONDOKA ZANZIBAR BILA KUAGA
Askari wa Upelelezi wa Marekani (FBI) waliokuja Zanzibar
kusaidia uchunguzi wa kumpata aliyemuua kwa kumpiga risasi, Padri Evarist Mushi
wa Kanisa Katoliki wameondoka nchini.
Askari hao waliondoka Zanzibar bila kukamatwa mtu yeyote anayetuhumiwa,
licha ya polisi hivi karibuni kutoa mchoro wa mtu anayedaiwa kumuua padri huyo.
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa alisema jana kuwa askari hao waliokuja kushirikiana na wenzao wa Tanzania, wamerudi Nairobi na wanaendelea na uchunguzi wao.
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa alisema jana kuwa askari hao waliokuja kushirikiana na wenzao wa Tanzania, wamerudi Nairobi na wanaendelea na uchunguzi wao.
Labels:
HABARI MUHIMU
HABARI MPYA: UHURU KENYATTA AIFUKUZA KESI YAKE MAHAKAMA YA ICC
Wanasheria wa rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta, wameiomba Mahakama ya
Kimataifa ya Makosa ya Jinai, ICC, kumfutia mashitaka yanayomkabili mbele ya
mahakama hiyo.
Bwana Kenyatta amekanusha kuchochea ghasia baada ya uchaguzi mkuu wa
mwaka 2007.
Labels:
HALI YA HEWA
LYRICS: WANTS FOR DINNER-CIARA
"Wants For Dinner"
I'm right here when he calls me, yeah
I'm right here when he needs me, yeah
I'm the one he screams for day and night
And always make things alright, alright
I'm right here when he needs me, yeah
I'm the one he screams for day and night
And always make things alright, alright
Labels:
LYRICS
Subscribe to:
Posts (Atom)