Language

Sunday 20 January 2013

MICHEZO: CHILAVERT NDIYE KIPA BORA DUNIANI ALIYEVUNJA REKODI YA UFUNGAJI MAGOLI

Jose Luis Chilavert, kipa wa zamani wa Paraguay ndiye kipa bora katika historia kwa kufunga magoli mengi zaidi ya makipa wote duniani, anajumla ya magoli 62.Kwa sasa amestaafu soka  na anatarajia kugombea urais wa nchi ya Paraguay katika miaka michache ijayo.






No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...