Language

Tuesday 19 March 2013

BURUDANI: WALTER CHILAMBO NA EBSS KUDODOKA MTWARA

Ni Epiq Night na Epiq Stars ndani ya Mtwara Jumamosi hii ya tarehe 23 katika viwanja vya Umoja zamani ukijulikana kama Nangwanda Sijaona.

Burudani hiyo ambayo itaenda sambamba na kuadhimisha mwaka mmoja tokea club ya Maisha kuzinduliwa Mtwara, itaanza saa sita kamili mchana.
Wasanii watakaotumbuiza ni Menina Atick, Nsami Nkwabi, Nshoma, Vincent, Husna Nassor, Geofrey Levis, Wababa Mtuka, Norman Severino pamoja na mshindi wa milioni hamsini, Walter Chillambo.
Wakisindikizwa na Linah, Barnaba, Ben Paul, na Rich Mavoko.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...