Language

Friday 26 April 2013

MWANAMKE HUPENDA HAYA KWA MWANAUME



Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.


Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini
8. Mwenye mawazo mapana
 9. Muwazi na mkweli
 10. Anayeridhika
 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma
 13. Anaesamehe
 14. Hadhi na heshima
 15. Hisia ya uadilifu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...