Language

Thursday 2 May 2013

GEOFFREY KONDOGBIA:SIENDI MAN CITY WALA ARSENAL, NAITAKA REAL MADRID


Geoffrey Kondogbia amekataa kujiunga na Manchester City na Arsenal kwa kusema lengo lake ni kujiunga na Real Madrid.

Sevilla imeonyesha ipo tayari kumpoteza Mfaransa huyo msimu huu, kutokana na kutakiwa na klabu nyingi za Ulaya.
Manchester City imetangaza dau la Pauni 7 milioni kwa ajili ya mchezaji huyo, lakini nyota huyo wa Sevilla ametupilia mbali mpango huo wa kwenda England.
Arsene Wenger naye ameonyesha nia pia, wakati Madrid wakipewa nafasi nzuri zaidi ya kumnasa Kondogbia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...