Vichwa Vya Habari
Language
Tuesday, 29 January 2013
MICHEZO: DROGBA KUICHEZEA GALATASARAY KWA MWAKA MMOJA NA NUSU
Galatasaray imemsajili aliyekuwa mshambulizi wa Chelsea Didier Drogba kutoka kwa klabu ya Shanghai Shenhua inayoshiriki katika ligi kuu ya Premier nchini Uchina.
Galatasaray inayocheza ligi kuu nchini Uturuki, imethibitisha kuwa Drogba amesaini mkataba wa miezi kumi na minane na klabu hiyo.
Mchezaji hiyo mwenye umri wa miaka 34, kwa sasa yuko nchini Afrika Kusini kuiongoza kikosi cha Ivory Coast katika mashindano ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika.
Kwa mujibu wa ujumbe uliotumwa na kampuni ya uhusiano bora inayomuakilisha mchezaji huyo Sports PR Company na kuchapishwa kwa mtandano wa kijamii wa Twitter, Drogba alisema anajiandaa kurejea tena katika michuano ya kuwania kombe la klabu binga barani ulaya kwa mara nyingine.
Galatasaray imefuzu kwa raundi ya muondoana ya kuwania kombe hilo na imepangiwa kucheza na FC Schalke 04 kutoka uUjerumani.
''Hii ni fursa nzuri ya kuichezea timu kubwa na ni nafasi ambayo siwezi kupuuza'' Alisema Drogba.
BURUDANI: ENRIQUE IGLESIAS-I HAVE ALWAYS LOVED YOU LYRICS
Since the beginning of time
Since it started to rain
Since I heard you laugh
Since I felt your pain
I was too young, you were much younger
We were afraid of each other`s hunger
I have always loved you
There`s never been anyone else
I knew you before I knew myself
Oh my baby,
I have always loved you
Since we kissed the first time
Since we slept on the beach
You were too close for comfort
You were too far
Since it started to rain
Since I heard you laugh
Since I felt your pain
I was too young, you were much younger
We were afraid of each other`s hunger
I have always loved you
There`s never been anyone else
I knew you before I knew myself
Oh my baby,
I have always loved you
Since we kissed the first time
Since we slept on the beach
You were too close for comfort
You were too far
Sunday, 27 January 2013
Saturday, 26 January 2013
TIBA: DAWA YA KUKUZA NA KUREFUSHA UUME, MAKALIO NA MATITI ISIYO NA MADHARA IMEPATIKANA TZ, HII HAPA
Kwa kutumia mabango, lengo likiwa kutangaza kazi zao, waganga
wengi wa tiba asilia wamekuwa wakijinadi kuwa wanatoa tiba ya kurefusha
maumbile ya siri ya wanaume, kukuza makalio au matiti.
Katika mitaa ya miji na majiji nchini, siyo jambo
la ajabu kukutana na mabango hayo, ambayo hata hivyo kushamiri kwake
kunaleta picha kwamba ni kutokana na uhitaji mkubwa wa huduma hiyo
nchini, huku watoa huduma husika wakinufaika kwa kujikusanyia kiasi
kikubwa cha fedha kutoka kwa wahitaji.
Pia dawa zinazodaiwa kukuza makalio maarufu kama
‘mchina’, zimekuwa gumzo baada ya kuingia nchini, huku zikielezwa kukosa
ubora na kwamba zina madhara makubwa.
Lakini, sasa unaweza kuachana na dawa hizo za
Kichina, baada ya kugundulika mmea wenye uwezo wa kukuza makalio,
matiti, pamoja na kurefusha
BURUDANI:BADO UTATA UMETAWALA!!!
TASNIA ya sanaa ni nyanja ambayo kwa kipindi kirefu imekuwa
ikitawaliwa na amani, huku watu wake wakionekana kuwa na furaha na
kufanya kazi zao kwa kujitolea zaidi licha ya mapato kiduchu kutokana na
kazi zao.
Hata hivyo, kwa takribani
Friday, 25 January 2013
BURUDANI: LULU KUENDELEA KUSOTA SELO,NI BAADA YA DHAMANA YAKE KUPIGWA KALENDA
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imesogeza mbele tarehe ya
usikilizwaji wa maombi ya dhamana ya msanii wa fani ya maigizo,
Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu, anayekabiliwa na kesi ya kuua bila
kukusudia.
HABARI: KESI YA SISTA ALIYEFUMANIWA NA MUME WA MTU SUMBAWANGA KUSIKILIZWA TAREHE 29
KESI ya madai inayomkabili aliyekuwa Mtawa wa Shirika la
Kitawa la Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Sista Yasinta Sindani
anayedaiwa kufumaniwa na mume wa mtu imepangwa kusikilizwa Januari 29
mwaka huu.
“Sista’ Yasita licha ya kuwa mtumishi wa afya
katika Hospitali ya Mkoa wa Rukwa mjini hapa lakini inadaiwa
ameachana na maisha ya kitawa miaka miwili iliyopita kwa hiyari
yake akiwa Mtawa wa Shirika la Masista wa Maria Mtakatifu Malkia wa
Afrika (MMMA).
Shauri hilo la madai linatarajiwa kuanza
kusikiliza katika Mahakama ya Mwanzo mjini hapa, mbele ya Hakimu
Jaffari Mkinga, mlalamikaji Asteria Mgabo anamtaka Yasinta amlipe Sh3
milioni baada ya kumfumania na mumewe wa ndoa aitwaye Martin Msangawale
(39), Mhasibu wa Manispaa ya Sumbawanga.
Siku hiyo ya kusikilizwa kwa shauri hilo
mlalamikaji katika shauri hilo Asteria anatarajiwa kuwaleta
mashahidi wake wanne mahakamani hapo
HABARI: SITTA KUGOMBEA URAIS 2015
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema
kwamba anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania na anafikiria kugombea 2015,
iwapo dhamira yake itaridhika na mazingira na upepo wa kisiasa wa wakati
huo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu, Sitta alitaja mambo kadhaa aliyoeleza kuwa ni ishara ya
kukubalika kwake, ikiwamo kuteuliwa na marais wote wanne; Julius
Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete katika
nyadhifa mbalimbali ikiwamo ya uwaziri.
Kauli ya Sitta imekuja baada ya kuwapo kwa minong’ono ya baadhi ya wananchi kumtaja kuwa miongoni mwa watu wanaoweza kujitokeza kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.
Kauli ya Sitta imekuja baada ya kuwapo kwa minong’ono ya baadhi ya wananchi kumtaja kuwa miongoni mwa watu wanaoweza kujitokeza kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.
“Ni faraja kusikia watu wakinizungumzia kuwa
ninazo sifa (za kuwa Rais). Nami ninaamini ninazo sifa. Wakati
utakapofika nitajipima. Kama hali hii itaendelea, basi nitaona ni vizuri
nigombee,” alisema Sitta ambaye aliwahi kuwa Spika wa
BURUDANI: MH. JERRY SLAA MGENI RASMI USIKU WA MASTAA WA FILAMU
Meya wa Ilala Jerry Slaa ndiye
atakuwa mgeni rasmi kesho katika Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu
litakalofanyika katika ukumbi wa kisasa wa burudani Dar Live, Mbagala
Zakhem jijini Dar es Salaam. Katika tamasha hilo burudani mbalimbali
kutoka kwa wasanii wa filamu na wale wa Bongo Fleva zitakuwepo
HABARI: JESHI KUCHUKUA UONGOZI UGANDA?
Baada ya sakata la kufariki ghafla mbunge wa chama tawala NRM nchini
Uganda,rais Museveni pamoja na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi
wamekuwa wakitoa kauli za kutishia kuliachia jeshi lichukue uongozi
nchini humo.
Thursday, 24 January 2013
BURUDANI: LYRICS ZA PITBULL NA MARC ANTHON-LET IT RAIN OVER ME HIZI HAPA
"Rain Over Me"
(feat. Marc Anthony)
(feat. Marc Anthony)
[Marc Anthony]
Girl my body don't lie
I'm outta my mind
Let it rain over me
I'm rising so high
Out of my mind
So let it rain over me
Ay ay ay
Ay ay ay
Let it rain over me
Girl my body don't lie
I'm outta my mind
Let it rain over me
I'm rising so high
Out of my mind
So let it rain over me
Ay ay ay
Ay ay ay
Let it rain over me
MITINDO: FLAVIANA MTATA ASHINDA TUZO YA MWANAMITINDO BORA MWENYE MVUTO ZAIDI AFRIKA
FLAVIANA Matata, mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania,
ameshinda tuzo ya ‘Nigeria’s Next Super model 2012’ inayomtambulisha
kama Mwanamitindo Bora mwenye Mvuto Afrika (Africa’s Most Outstanding
Model 2012).
Ushindi wa tuzo hiyo ya pekee kwa aina yake,
umefungua milango ya kutambulika zaidi Matata hata kulivusha kimataifa
jina la Tanzania katika tasnia ya mitindo na mavazi.
Akiongelea ushindi wa tuzo hiyo, Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Compass Communication Tanzania Limited, Maria
Sarungi Tsehai alisema ushindi wa Matata ni mafanikio mengine ya
kujivunia. Tsehai ndiye aliyevumbua kipaji cha Matata.
Kwa mara ya kwanza Flaviana aliibuka kwenye
mashindano ya Miss Universe akiweka rekodi ya mrembo wa kwanza kushinda
taji hilo nchini.
Aliiwakilisha nchi kwenye mashindano ya ‘World Miss Universe’ mwaka 2007 na kumaliza nafasi ya sita, mjini Mexico City, Mexico.
Matata pia ni balozi wa taasisi ya kusaidia watoto
(SOS) na Matata Diamond Empowerment Fund (Def) ya Marekani, ambapo
anafanya kazi sambamba na mwanamitindo na msanii wa vipindi vya
televisheni Kim Kardashian.
Kimwana huyo pia ana mkataba na kampuni ya mitindo
ya Afrika Kusini inayojulikana kama Boss Models SA, ambapo awali pia
aliwahi kufanya kazi na
BURUDANI: HOW DEEP IS YOUR LOVE LYRICS, SEAN PAUL FT. KERRY RAWLAND
Bada bang bang bang
Late by the King call
Over is all our brain
Baby girl, Listen what me sing yeah
Badabang, Bada bang bang bang ban
Sean Da Paul him ah the DonYo, girl just hold my hand,
I gotta let you know I am the man
Girl cause the way how ah wine,
And ah bubble it, bubble it
BURUDANI: ANGALIA PICHA 4 ZA MKE WA MTU AKIFANYA UCHAFU UKUMBINI
KITUKO cha aina yake kimejiri Jumamosi iliyopita ndani ya Ukumbi wa
Meeda Sinza jijini Dar wakati Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’
ilipokuwa ikitumbuiza.
HILI NDILO TAMKO LA KANISA LA MORAVIAN KUSINI
Halmashauri Kuu ya Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini na bodi ya
wadhamini wa mali za kanisa hilo, wametoa tamko zito la kumtaka
Mwenyekiti wa Jimbo la Misheni Mashariki aliyesimamishwa, Mchungaji
Clement Fumbo kurudisha mali za kanisa na kuacha kujihusisha na shughuli
za kanisa hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Jimbo la Kusini, Clement Mwaitebele alisema alichokifanya Mchungaji Fumbo ni ubatili mkubwa na kwamba ni kitendo kinachohatarisha amani ya Watanzania, hivyo kama viongozi wakuu wa kanisa wameamua kuingilia kati.
Alisema barua za kumtaka afanye hivyo tayari zimeshaandaliwa na kwamba akikaidi kurudisha ofisi, kuondoka katika Jengo la Usharika wa Tabata na
Wednesday, 23 January 2013
HABARI: HAYA NDIO MATOKEO YA UCHAGUZI ISRAEL
Wapiga kura wa Israel wamemuondowa patupu waziri mkuu Netanyahu anaekabiliwa na kazi ngumu kuweza kuunda serikali ya muungano
Waisraeli wamepiga kura jana, na wamezusha maajabu. Mtangazaji wa zamani wa televisheni, Jair Lapid na chama chake cha kiliberali - Yesh Atid - amemaliza nafasi ya pili akijikingia viti 19 vya bunge la Knesset. Yeye ndiye mshindi mkubwa wa uchaguzi huo. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameondolewa patupu na wapiga kura. Muungano wa vyama vya mrengo wa kulia vya Likud na Beitenu, anaouongoza, umejipatia viti 31 toka jumla ya viti 120 vya bunge la Israel - Knesset.
Baada ya ushindi kama huo, kimsingi mshindi hupanda ndani ya gari la fakhari
Waisraeli wamepiga kura jana, na wamezusha maajabu. Mtangazaji wa zamani wa televisheni, Jair Lapid na chama chake cha kiliberali - Yesh Atid - amemaliza nafasi ya pili akijikingia viti 19 vya bunge la Knesset. Yeye ndiye mshindi mkubwa wa uchaguzi huo. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameondolewa patupu na wapiga kura. Muungano wa vyama vya mrengo wa kulia vya Likud na Beitenu, anaouongoza, umejipatia viti 31 toka jumla ya viti 120 vya bunge la Israel - Knesset.
Baada ya ushindi kama huo, kimsingi mshindi hupanda ndani ya gari la fakhari
HABARI:WATU 23 WAMEUAWA NIGERIA KATIKA MASHAMBULIZI TOFAUTI
Washukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu ,
wamelaumiwa kwa mauaji ya watu 23 katika mashambulizi tofauti Kaskazini
mwa Nigeria
.
Walio shuhudia mauaji hayo wanasema kuwa
washambuliaji waliwalenga watu waliokuwa wanauza nyama ya wanyamapori,
katika eneo la Damboa siku ya Jumatatu na kuwaua watu 18.Watu wengine watano walifariki Jumanne wakati kundi la wanaume waliokuwa wanacheza mchezo wa kamari walishambuliwa mjini Kano.
Kundi la Boko Haram, linalopigana kutaka kuweka sheria za kiisilamu, nchini Nigeria limekuwa likifanya mashambulizi, katika sehemu kadhaa nchini humo.
Boko Haram imelaumiwa kwa vifo vya takriban watu 1,400,
HABARI: SASA NI ZAMU YA CHADEMA KUIRARUA CCM
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu CCM kuhusu
kauli zake za hivi karibuni kuwa Chadema itakufa.Akihutubia Mwanza hivi
karibuni, Nape Nnauye alikaririwa akisema Chadema itakufa kutokana na
laana ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kwamba ni chama
kilichojaa ubaguzi.
Akijibu kauli hiyo jana, Mkurugenzi wa
Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Benson Kigaila alisema chama hicho
hakiwezi kulumbana na Nape.
Kigaila alisema Chadema haina makundi na haitakufa kwa laana ya Mwalimu Nyerere.
“Tunataka kuwaambia kuwa Chadema haina ubaguzi hivyo haiwezi kufa leo wala kesho mpaka iwe imetimiza kazi yake ya kuwakomboa Watanzania. Kama ni suala la Mwalimu Nyerere, laana hiyo iko ndani ya CCM yenyewe,” alisema.
“Tunataka kuwaambia kuwa Chadema haina ubaguzi hivyo haiwezi kufa leo wala kesho mpaka iwe imetimiza kazi yake ya kuwakomboa Watanzania. Kama ni suala la Mwalimu Nyerere, laana hiyo iko ndani ya CCM yenyewe,” alisema.
Akitaja sababu za kudai kuwa laana imo ndani
ya CCM, Kigaila alisema chama hicho kimevunja umoja wa kitaifa
uliojengwa na Mwalimu Nyerere na kwamba, alitunga kitabu kuwa CCM imeoza
na kinanuka rushwa.
Aliongeza kuwa CCM ina laana ya Mwalimu kwa sababu imerasimisha ubaguzi kwa viongozi wanachama wao.
Aliongeza kuwa CCM ina laana ya Mwalimu kwa sababu imerasimisha ubaguzi kwa viongozi wanachama wao.
“Ni haohao CCM wanaosema Chadema kina ukabila
waliomzushia Dk Salim Ahmed Salim uongo kuwa ni Mwarabu na alihusika na
kifo cha aliyekuwa mmoja wa waasisi wa taifa hili, Abeid Karume. Uchafu
uliofanywa na wanamtandao,” alisema Kigaila.
Aliendelea kuituhumu CCM kwa kukandamiza haki za wafanyakazi, huku akitoa mfano wa tukio la kutekwa na kuteswa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania (Mat), Dk Steven Ulimboka.
Aliendelea kuituhumu CCM kwa kukandamiza haki za wafanyakazi, huku akitoa mfano wa tukio la kutekwa na kuteswa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania (Mat), Dk Steven Ulimboka.
Pia, alitoa mfano wa wazee waliostaafu Jumuiya
ya Afrika Mashariki ambao wanaodai mafao yao hadi leo, wakati Serikali
ya Uingereza ilishalipa fedha zao tangu jumuiya ilipokufa mwaka 1977.
Kuhusu hatua ya kuwavua uanachama, baadhi ya
viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Kigaila alisema chama
hicho hakitavumilia makosa kama uzembe, ufisadi, udhaifu, ubadhirifu na
usaliti.
Amshukia Mwigulu Nchemba
Pia, Kigaila alimshambulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba kwa madai kuwa, tuhuma alizotoa dhidi ya Chadema kwamba kinapanga mauaji, zinaidhalilisha Serikali na polisi.
Alimtaka Nchemba kupeleka ushahidi wa tuhuma
zake kwenye vyombo vya sheria badala ya vyombo vya habari. “Tunataka
kumwambia Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Polisi, Said Mwema na Mkurugenzi
wa Usalama wa Taifa, Othman Rashid kuwa ukimya wao... ni tafsiri kuwa
polisi sasa inafanya kazi kwa kufuata amri za Chadema,” alisema Kigaila.
Tuesday, 22 January 2013
BURUDANI: CHRIS BROWN-SHOULD'VE KISSED YOU LYRICS
Why Am I mad, I don't get it,
It seems like every time you give me signs,
And I miss it!
I did it again,
I admit it,
It seems like every time you give me signs,
And I miss it!
I did it again,
I admit it,
Subscribe to:
Posts (Atom)