Language

Thursday 28 March 2013

MBUNGE WA CHAMBANI (CUF). SALIM HEMED KHAMIS AMEFARIKI DUNIA


Habari zilizotufikia mchana huu zinasema,Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge,amefariki.



Amefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mipango ya mazishi na kumsafirisha inafanyika, kwa habari zaidi ungana nasi baadae. au soma gazeti la mwananchi kesho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...