Akizungumza na BonMusic Blog katika Exclusive interview Ze Bato amesema kuwa “mimi kama msanii
wa bongo flava ugumu katika muziki huu nahisi ni uelewa wa mashabiki na
kukariri kuwa mtu fulani ndiye tunaye amini ni mkali lakini kumbe kuna watu wengi
ambao ndo first time kusikika katika
masikio yao, ni wakali isipokua imani inakosekana. Lakini ujio mpya unatofauti
kuliko tunavyoelewa japo yaliopo tunayaamini”
Pia alimalizia kwa kusema haya..” napenda kuwashukuru mashabiki wangu, radio na blogs kwa kunipa mchango wenu mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki High Life Music Ameen”
Pia alimalizia kwa kusema haya..” napenda kuwashukuru mashabiki wangu, radio na blogs kwa kunipa mchango wenu mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki High Life Music Ameen”
No comments:
Post a Comment